Niliumizwa sana nashindwa kusahau

Niliumizwa sana nashindwa kusahau

Kwanza nakupa pole sana.

Pili nasikitika kama mmeachana miaka 12 iliyopita ila mpaka sasa huna mwenza kwani umri sahihi wa kubeba mimba kwa mujibu wa wataalamu wa afya ya uzazi kwako umefika mwisho.
Bado anaweza beba mimba
 
Ndugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita.

Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini nashukuru mungu nimejitahidi na nitajitahidi apate elimu. Tatizo ni kwamba kila nikiingia kwenye uhusiano mpya nakuwa muoga na sana imefikia hatua sihitaji tena kuwa na mwanaume. Yaani naogopa vitu vilivyonitokea mwanzo na mwisho nahisi sijui kumpenda mtu yaani kuubwaga moyo nakuwa na wasiwasi na kushindwa kujiachia.

Naombeni ushauri nifanyeje ili niwe sawa na wanawake wengine
kuwa malaya tu na wewe umkomoe
 
Tumeumbwa tofauti sikushangai kila mtu kajaaliwa uelewa wa peke yake!! Hicho ndo kiwango ulicho jaaliwa ww!
umeomba ushauri uwe kama wanawake wengine,unashauriwa unaanza kuleta ngebe,ndio maana uliumizwa kumbe,jamaa alioa mwanamke mwingine,ha ha ha haa!
 
Sababu ni nyingi alafu nilikuwa na 20yrs baada ya yy kutuacha nilirudi chuo nikapata ya kawaida lkn inanosaidia mm na mtoto yy hata muda na mtoto hana aliyonikosea ni mengi lkn kubwa lilikuwa kutembea na wanawake tena bila kujificha na kuwadharau wazazi wangu na wake pia alipokuwa anaitwa kuulizwa kinginr hakuwa mkweli kazini alikuwa ashachukua michango ya ndoa na kutumia na kuwa anavaa pete ya ndoa job nyumbani anaificha kumbe tulikuwa bado hatujafunga ndoa wakati wa màndalizi ya ndoa rafiki yake akaja kuniambia huku akilalmika ametembea na mke wake pia,ni mengi siwez maliza

Huyo mwanaume kiboko, anapiga mabao kama Griezman
 
Ndugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita.

Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini nashukuru mungu nimejitahidi na nitajitahidi apate elimu. Tatizo ni kwamba kila nikiingia kwenye uhusiano mpya nakuwa muoga na sana imefikia hatua sihitaji tena kuwa na mwanaume. Yaani naogopa vitu vilivyonitokea mwanzo na mwisho nahisi sijui kumpenda mtu yaani kuubwaga moyo nakuwa na wasiwasi na kushindwa kujiachia.

Naombeni ushauri nifanyeje ili niwe sawa na wanawake wengine
Dada wakati najifunza kuendesha gari niligonga na kuumia sana mpaka nilipelekwa hospital lakini sijakata tamaa ya kuendesha gari. Mpaka sasa nimekuwa dereva mzuri sana na napenda kuendesha gari sana. Hapa na maanisha kutendwa (kuumizwa) na huyo baby daddy wako isiwe ndio sababu ya kujinyima furaha yako. Tafuta mwengine awe daktari akupoze maumivu ulioyapata. Bila ya kupata dawa na hakika kidonda kitaoza hicho. Jinsi ya kutatua hisia zako za kuumizwa kwanza omba mungu sana akusahaulishe yalopita. Halafu jaribu kusahau kila baya na jema alilo kufanyia. Na mwisho omba mungu akupatie mwenza atakayekupa furaha ya moyo na wewe mwenyewe ndio mleta furaha halisi.
 
TAFUTA "SPERM DONOR" UZAE MWINGINE WA MWISHO...KAMOJA TUU HATA HAINOGI NA KIZAZI UNACHO...

JAZAJAZA DUNIA MAMAM YANGU BAIOLOJIA INAKUPA MUDA MFUPI KABLA HUJAFIKIA MENOPAUSE...WAHI SASA WAHI HARAKA.

IN CASE UKIKOSA DONOR..KARIBU TUJADILI NAWEZA KUTOA MSAADA HUO.
 
hahahahahahaha good morning
 
Mtafute baba watoto wako akupe mimba ingine akili itakukaa sawa Na watoto watakuwa wa baba mmoja!
 
Kama binadamu ulitetimia huwezi epuka hilo utapatwa na msongo wa mawazo na kuishia kufanya dhambi au vitu.vingine vitakavyo kuaibisha bure.

Nakushauri pata mwanaume aliye single au mwenye status kama yako. Kuwa nae wazi na usijibwage mapema. Chukuwa muda mkiwa narafiki... wanaume wengi watapenda kukutumia kama utaharakisha kutoa penzi

Jipe muda msome kwa muda na mchukulie kama rafiki tu. Kuamua kuoana iwe mwisho kabisa mtakapo kubaliana.

Usianze kwa kuwaza ndoa, anza na urafiki ili mkishindwana mnaachana kwa upole...

Again do not commit yourself unless you are very sure. Awe partner tu.. mpime status kwanza.

Kila lakheri bibie.
hao single ndio ma player wenyewe njoo kwangu married but troubled...sisi ndio wazeefu wa kuridhisha wanawake, nakupa nyumba, gari na starehe zote, sikuchoshi kitandani..
 
12yrs!!! achana na past issue wewe,,, maisha ni once not twice.......lea mwanao,,, ila unahitaji kuwa na ubavu, uwe makinina mwelewa....utampata....mwili lazima utimiziwe haja zake..
 
Mnaomshauri aachane na wanaume umri huu wa 35 ambapo kama nyonga bibie ndio Kwanza imetanuka, bastola bastola. Hormone bado zimechangamka, anahitaji agegedwe nae apate raha km wanawake wengine. Angekuwa 48 sawa. Go out there, jimix, kuwa makini maana sio wanaume wote wanafaa kuwa husbands, wanawake pia. Jaribu kuangalia package yako ili utafute mwanaume unayeendana nae. Unakuta mdada anakomaa na Mtu ambaye sio package yake... Anaishia kulia. Ukikwama ni text nikupe uzoefu live
 
Hahaha..basi kuwa makini usije ukaja kuomba ushauri hapa[emoji23]

kwamba? asee mi nilishakuwa kiranja kabisa ... sitamba ushauri kwa hili no thanks maamuzi yalishafanyika hakuna kurudi nyuma
 
Back
Top Bottom