Niliumizwa sana nashindwa kusahau

Naweza pata wapi hiyo cancelling?
 
Unataka kuwa kama wanawake wengine kwani we umekuwa mwanaume enhee
Unashindwa kumsahau face the reality then that all...
 
Endelea kuishi mwnyw dada mpaka kifo kikutenganishe!
 
Umri ulionao unatosha kabisa kufanya mambo yako..
Fanya kazi..somesha mtoto wako mpaka atimize ndoto zake..

Unaweza ukapata mwingine akapatia wewe mtoto mwingine tena na akapotelea kusikojulikana ukabaki na matatizo mengine!!
Hamumtendei haki!Ana miaka 35 tu mnamwambia abaki mwenyewe.Jambo la msingi awe muangalifu atakapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi.Na hasa usawa huu wa uchumi wa mifukoni ulivyo.....!Ni rahisi kumjua mwanaume suruali.
Kumshauri eti hasianzishe mahusiano mapya ni sawa na miwa yenye rutuba kuota au kumea mwituni...itakomaa na kujikaukia yenyewe bila kuvunwa.
 
Fear not...
Tatizo ww unagoma kuamini kwamba unaweza salitiwa tena no one is perfect chakujua ukimpenda mtu ujue sio malaika naweza kukusaliti pia kwahy jiandae kwa yote
 
Unataka kuwa kama wanawake wengine kwani we umekuwa mwanaume enhee
Unashindwa kumsahau face the reality then that all...
Au nipende Mimi katoto hautajuta wala hautakuwa na stress njoo tujenge maisha kwa akili na busara kwa heshima ya hali ya juu,
Nipm please
 
Hiyo avatar yako ndio inayosababisha hayo yote toa hiyo avatar ubakeise bona
 
Yupo chuo saivi sio tena mwaka wa 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…