Nilivunja urafiki wetu baada ya kauli iliyonidhalilisha na kunikejeli nina sura mbaya

Umefanya nimecheka wallah 🤣🤣
Wanakuonea wivuu
 
Una kuwa insecure kwa sababu ya naysayers! Ebu tambua kuwa ww na uzuri wako ndo kitu pekee kinacho waumiza.
 
Huo ulikuwa utani wa kitoto tu.Sidhani kama alimaanisha kweli.Mkizoeana sana hayo hutokea.Utapoteza na kupishana na mengi kwa kuyachukulia mambo kwa kutaharuki.
 
Labda ni utani tu!
Tone ya utani naamini angeifahamu, kuna kusema/kutamka neno na kuna namna unavyolisema/unavolitamka ambapo neno hilohilo linaweza kuwa utani, dhihaka, kejeli, masihara, kashfa au likawa tusi. The tone, expression, moment or body language defines it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…