Nilivunja urafiki wetu baada ya kauli iliyonidhalilisha na kunikejeli nina sura mbaya

Nilivunja urafiki wetu baada ya kauli iliyonidhalilisha na kunikejeli nina sura mbaya

Tone ya utani naamini angeifahamu, kuna kusema/kutamka neno na kuna namna unavyolisema/unavolitamka ambapo neno hilohilo linaweza kuwa utani, dhihaka, kejeli, masihara, kashfa au likawa tusi. The tone, expression, moment or body language defines it.
Dah kweli kabisa!
 
Baada ya kujitenga nae nini kiliendelea?
Alifurahia au alitaka kufahamu kwa nini umeamua kuwa mbali nae.
Alionekana kutokujali kwani aliendelea na kundi lingine la urafiki ila nilikua nikipata maneno ya chini chini yanayoashiria wivu kutoka kwake
 
Lakini vipi sura yako wewe unaionaje maana mara nyingi huwa hatupendi kuambiwa ukweli ,

Tuanzie hapo kwanza
 
Aise pole miye nisingebaki nalo pale pale nongempa.
Nakumbuka tulipokuwa six miaka ile best yangu dingi yake alienda nje.

Sasa yy familia yao ni uzungu uzungu mwingi dingi akirudi familia inaenda Airports kumpokea mshua.
Na ukumbuke Enzi hizo siyo mchezo kwenda abroad.

Sasa akaniambia best kesho napanda Bus naenda kumpokea dingi anarudi.

Miye nikamwambia ntafanya kila njia ili usiandikiwe "absent " maana majina alikuwa anaita monitor.

Na sisi tulikuwa watundu watundu na group letu lilikuwa lile la kitaa kusoma si unajua Pure maths teena.

Yule monitor alikuwa anatumaind sana sana.
Akaingia akaita majina teena mbele ya darasa tena darasa lilikuwa na watu km 35 hivi.
Akaniita Mtili wandu nikasema nipo.

Alijua kabisa yule best yangu hayupo siku ile.
Akamuita jina miye nikasema anaumwa, kumbe asubuhi alimwana wakati anaenda stand.
Alipomwita jina tuu niliposema anaumwa yeye hapo hapo anakema Unauhakika looh teeena kwa sauti ya kimamlaka.
Sikungoja hata aongeze jina la mtu mwingine nilimjibu Mimi nimetumia thermometer sijui ww uliyetumia mkono kupima joto lake.

Yule dada mpk tunagraduate hatukuwa tunasalimiana kabisa.
Nilichotaka kusema alitaka kunishusha mbele za watu lkn alikutana na boom, kabaaa maana darasa Zima lilicheka.
 
Ungemjibu, "Pamoja na sura yangu mbaya lakini sina UTI sugu kama wewe.".
 
Back
Top Bottom