Nilivunja urafiki wetu baada ya kauli iliyonidhalilisha na kunikejeli nina sura mbaya

Nafikiri ni utani tuu, mtu anayeamini una sura mbaya hawezi sema wazi namna hiyo mbele yako
Huoni km anakupotezea confidence, teena mbele ya kadamnasi. Weee usithubutu kufanya hivyo kwa rafiki. Pia mtu akiamua kukudhalilisha mbele za watu hakikisha unarudisha la juu zaidi ili kuweka oil kwenye hasira pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…