Nilivyo sasa baada ya kumfuma mwamba akilia mbele ya wazee na mkewe ili asiachwe!

WhoWeBe

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
2,299
Reaction score
4,282
Nimefadhaika, nimehuzunika, nimekasirika, nimeshangaa, nimechoka na nimekata tamaa kabisa!!

Yaani jamaa analia 'live' mbele ya wazee waliokuja kusuluhisha mgogoro wao na mkewe ambaye anadai talaka aondoke.........analia huku amempigia magoti mkewe (huku wazee wakishuhudia) akimsihi asiondoke. Dah!!!!
 
Kapiga goti mwingine wewe umekata tamaa kivipi?
 
Anayopewa chumbani unayajua?
Kua uyaone sio maghorofa.
Sawa....

Wakati mwingine mtu akishawekwa "tungulini"...

Sasa unalishwa maji ya matalisimu katika sharubati,chakula,maji ya kuoga....

Darini matalisimu..

Uvunguni matalasimu...

Kizingitini yamefukiwa...

Maliwato yapo...

Nywele ziko katika kibubu cha mganga...na juu yake liko jina..."ukipungua tu" simu imepigwa na fedha katumiwa amalizie hukohuko bila ya bibie kwenda...circle inajirudia [emoji1787]

Unaachaje KULIA KAMA TOTO na kumsotea magoti yeye na wazee ?!!

Dunia hii...

Haijaanza jana hii..haaatareeeee
 
Kuta za nyumba zinaficha mengi.
Anaejifanya mjanja nje unaweza kuta anapigwa makonzi ndani na mkewe na hata kwa crane hamuachi huyo mwanamke.

Unaweza staajabu mtu anavimba mitaani kumbe ni ruzuku toka kwa mkewe. Sasa mtoa ruzuku akidai talaka hata kama ni wewe hutolia??

Maswala ya mapenzi hayana formula maalum, kila mtu yanamchukua kwa design yake. Kamwe usimcheke mwenzio anaetaabika na mapenzi, hayana mmoja.

Kuna jamaa alikuwa anajifanya mgumu, vyuma vingi, gangster la maana. Alikuja pigwa tukio la mapenzi akawa anasikiliza na kuimba nyimbo za Lady Jaydee huku analia.
Vuta picha bouncer linalia huku linaimba kwa hisia nyimbo ya Jaydee, Machozi.
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom