Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekuja kwa ajili yako humuNzuri
Nani mwenzangu?manake umejoin jumapili
Unafiki tu kilicho kushsngaza ni nn?umbea tu kilicho kufedhehesha hapo kitu gani?mbona hayo yote hayakukutokea wakati wanatongozana na kunyanduana?Nimefadhaika, nimehuzunika, nimekasirika, nimeshangaa, nimechoka na nimekata tamaa kabisa!!
Yaani jamaa analia 'live' mbele ya wazee waliokuja kusuluhisha mgogoro wao na mkewe ambaye anadai talaka aondoke.........analia huku amempigia magoti mkewe (huku wazee wakishuhudia) akimsihi asiondoke. Dah!!!!
Nimeona,ni kweli kaja kwa ajili yangu kwasababu kila uzi naochangia ananiquoteAmekuja kwa ajili yako humu
Haswaaa yaan.Anayopewa chumbani unayajua?
Kua uyaone sio maghorofa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had baas.Kuta za nyumba zinaficha mengi.
Anaejifanya mjanja nje unaweza kuta anapigwa makonzi ndani na mkewe na hata kwa crane hamuachi huyo mwanamke.
Unaweza staajabu mtu anavimba mitaani kumbe ni ruzuku toka kwa mkewe. Sasa mtoa ruzuku akidai talaka hata kama ni wewe hutolia??
Maswala ya mapenzi hayana formula maalum, kila mtu yanamchukua kwa design yake. Kamwe usimcheke mwenzio anaetaabika na mapenzi, hayana mmoja.
Kuna jamaa alikuwa anajifanya mgumu, vyuma vingi, gangster la maana. Alikuja pigwa tukio la mapenzi akawa anasikiliza na kuimba nyimbo za Lady Jaydee huku analia.
Vuta picha bouncer linalia huku linaimba kwa hisia nyimbo ya Jaydee, Machozi.
Dah hiki kipande! Binafsi km kidari sikupigwa tukio ila nilipitia hiki kipindi na kilinipa funzo ya kutokucheka watu wakiwa wanateseka kuhusu mapenzi #niliimbasnahiinyimboKuna jamaa alikuwa anajifanya mgumu, vyuma vingi, gangster la maana. Alikuja pigwa tukio la mapenzi akawa anasikiliza na kuimba nyimbo za Lady Jaydee huku analia.
Vuta picha bouncer linalia huku linaimba kwa hisia nyimbo ya Jaydee, Machozi.