Nilivyo sasa baada ya kumfuma mwamba akilia mbele ya wazee na mkewe ili asiachwe!

Nilivyo sasa baada ya kumfuma mwamba akilia mbele ya wazee na mkewe ili asiachwe!

Simba nyanaume unalia tena mbele ya wazee? Aibu kubwa hii.. sifa ya mwanaume kifua yani kuhifadhi mambo nyeti sio ropo ropo na kua na poker face ata imekuuma vp akwendee mana sio mwisho wa dunia #nosimpsaroundhere
 
Tatizo wengi humu mnajifanya wajanja na uzungu mwingi. Mnaona jamaa fala kumbe ni jambo la kawaida kutokea. Asilimia kubwa ya wanawake hushinda kwa waganga kuloga wanaume zao. Mwanaume unatakiwa uwe mbele ya muda sana hata kwenye uchawi umzidi mwanamke wako. Kwenye mambo ya uchawi anayefanikiwa kukuloga kirahisi ni mtu wako wa karibu. Mke wako ndo rahisi zaidi. Akiambiwa na mganga apeleke nywele zako au kucha ni fasta tu na lazima unyooke. Kuna mjomba wangu alikuwa kalogwa watu wakawa wanamlaumu anatawaliwa na mkewe. Yule mjomba siku moja tukiwa mezani kwake tunakula akamwambia mkewe eti watu wanasema wewe umenitawala. Yule mke wa mjomba alimkemea mumewe na kumwambia akawaambie hao watu wa mtaani wasimzoee. Siku moja nimeenda kwa mganga nikakutana na mke wa mjomba. Hatukusalimiana wala kuulizana hilo jambo hadi leo.
 
Nimefadhaika, nimehuzunika, nimekasirika, nimeshangaa, nimechoka na nimekata tamaa kabisa!!

Yaani jamaa analia 'live' mbele ya wazee waliokuja kusuluhisha mgogoro wao na mkewe ambaye anadai talaka aondoke.........analia huku amempigia magoti mkewe (huku wazee wakishuhudia) akimsihi asiondoke. Dah!!!!
Umeoa? Umeolewa?
 
Anayopewa chumbani unayajua?
Kua uyaone sio maghorofa.
Hata nipewe dunia nzima huko chumbani bado siwezi kumpigia magoti na kulia. Tena amedai talaka yeye mwenyewe kwa hiyari yake?. Hiyo mbona simple tu,tena mbele ya wazee,anapewa asubuhi kabisa.

Wenzie huku wakiambiwa waende kwao,talaka itafuata,anaita kijiji kizima kusuruhisha
 
Mimi naweza kulia Kwa uongo kumlimlia mwanamke lakini sio hadharani hayo ya kulia na kumpigia magoti ni nyumbani tena chumbani mm na yy lakini ni hii ntamfanyia mara moja Tu katika maisha yetu ntakayo kuwa nae
 
Back
Top Bottom