Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Khakhakhaaaa.. Defense mechanism tu afu mwanaume mzima anajiliza mfyuuu!!Haaa ndio ujilize ivyoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khakhakhaaaa.. Defense mechanism tu afu mwanaume mzima anajiliza mfyuuu!!Haaa ndio ujilize ivyoo
Bro umeoa?
Shemeji yako Hazard CFC haniruhusu kuingia huku mpaka awepo pembeninyie wakuu adim sana humu.nimefurahi kuwaona leo.
karibuni Tena.
Mdhaifu sana shemeji etuNyie kuna vitu havielezeki mjue mwacheni alie
Ila kulia mbele ya wakwe mmh angejitahidi akalia peke yake
ebwanaee🤔sikunyingine dada unatoroka uje kutuona ndugu zako katika Imani🤭Shemeji yako Hazard CFC haniruhusu kuingia huku mpaka awepo pembeni
Ila jamani kuna sehemu ukiona unakuwa dhaifu sijui kwaninMdhaifu sana shemeji etu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nzuri
Nani mwenzangu?manake umejoin jumapili
ni hatariKuta za nyumba zinaficha mengi.
Anaejifanya mjanja nje unaweza kuta anapigwa makonzi ndani na mkewe na hata kwa crane hamuachi huyo mwanamke.
Unaweza staajabu mtu anavimba mitaani kumbe ni ruzuku toka kwa mkewe. Sasa mtoa ruzuku akidai talaka hata kama ni wewe hutolia??
Maswala ya mapenzi hayana formula maalum, kila mtu yanamchukua kwa design yake. Kamwe usimcheke mwenzio anaetaabika na mapenzi, hayana mmoja.
Kuna jamaa alikuwa anajifanya mgumu, vyuma vingi, gangster la maana. Alikuja pigwa tukio la mapenzi akawa anasikiliza na kuimba nyimbo za Lady Jaydee huku analia.
Vuta picha bouncer linalia huku linaimba kwa hisia nyimbo ya Jaydee, Machozi.
Siku hizi wanawake wanaroga mno.Anayopewa chumbani unayajua?
Kua uyaone sio maghorofa.
Anasubiri ampige tukio , ukishaonesha weakness kama hiyo kwa hawa viumbe instinctly wanaamini umekuwa dhaifu hapo watatafut mbadala wakoMwanamke kakauka ,..anamchora TU jamaaa...
Kuroga hakuna jinsia, wote Me na Ke,Siku hizi wanawake wanaroga mno.
Wala sio maajabu yq chumbani, wanaume hawapagawi na mavitu ya bed kiasi hicho mpaka alie mbele ya wakwe.
TUnguli tunguli tunguli.
Na hizi tunguli mwisho wa siku zinawaharibia maisha ya famili, upendo na wivu vinazidi mpaka mwanaume anashindwa kufanya kazi anamuwaza mke, anashindwa kufocus na chochote anamfungia mkia mkewe.
Nimeona kabisq wanawake wakijuta kuwapa limbwata waume zao maana imekua kero. Na huyo jamaa anaelia bila shaka nae ni hivyo. Mke kaona kero anadai talaka jamaa kutoa hataki kudadeki na picha linaanza mganga keshakufa .
Siku hizi wanawake wanaroga mno.

Kwani akinyonywa mnduku ndio anapagawa?Mzeee wangu huyo bilashaka kawahiwa, kama hajanyonywa mnduku basi vibuyu vimehusika,, na watu wa hivyo akiachwa anajinyonga! Pole Dunia
Nimefadhaika, nimehuzunika, nimekasirika, nimeshangaa, nimechoka na nimekata tamaa kabisa!!
Yaani jamaa analia 'live' mbele ya wazee waliokuja kusuluhisha mgogoro wao na mkewe ambaye anadai talaka aondoke.........analia huku amempigia magoti mkewe (huku wazee wakishuhudia) akimsihi asiondoke. Dah!!!!