Nilivyo sasa baada ya kumfuma mwamba akilia mbele ya wazee na mkewe ili asiachwe!

Shutama, limbwata au obunyiko kaisikiwe kaulanaga nzambe na bunyoro, hatari sana.
 
Unafiki tu kilicho kushsngaza ni nn?umbea tu kilicho kufedhehesha hapo kitu gani?mbona hayo yote hayakukutokea wakati wanatongozana na kunyanduana?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had baas.
 
Mimi kuomba msamaha tu ni ngumu halafu ndo nipige magoti na kutoa machozi kabisa
 
Ilinikuta hii... Yan jamaa anatoa machozi mixer makamasi...
Nikasema siwezi tena BIG G kisa karanga za kuonjeshwa miyeee kwendraaaa..
 
Kama ni bibi mkubwa halali amlilie ,hao wakiondoka kujipanga upya ni parefusana
 
Kuna jamaa alikuwa anajifanya mgumu, vyuma vingi, gangster la maana. Alikuja pigwa tukio la mapenzi akawa anasikiliza na kuimba nyimbo za Lady Jaydee huku analia.
Vuta picha bouncer linalia huku linaimba kwa hisia nyimbo ya Jaydee, Machozi.
Dah hiki kipande! Binafsi km kidari sikupigwa tukio ila nilipitia hiki kipindi na kilinipa funzo ya kutokucheka watu wakiwa wanateseka kuhusu mapenzi #niliimbasnahiinyimbo
 
Huyo atakuwa mzanzibari wa kizimkazi. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mpumbavu sana huyo sisi wengine tunaongeza mke wa sita yeye analia lia na feminist mmoja ningekua jirani ningempiga kichwa kimoja apate akili fackeni kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…