mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Mtaani kuna mama alikuwa na mgahawa wake, hapo mgahawani kulikuwa na mabinti watatu. Mmoja kati ya hao mabinti alikuwa bubu na nilikuwa nampelekea moto kiaina, hakuna mtu mtaani alijua uhusiano wetu maana ulijengwa kwa usiri.
Raha ya kudate na bubu ni kwamba siri hazitoki nje maana hawawezi kupiga umbeya. Siku moja nikaenda mgahawani kula nikamkuta anakatakata nyama nikazunguka nyuma nikamtekenya, ile ya kupush vidole viwili kwenye nyonga karibu na kiuno both sides.
Tatizo nilijisahau nikaleta masihara ya chumbani ofisini. Binti aliruka kama anataka kupaa, alivyoshuka chini tu akanichoma kisu tumboni kwa hasira.
Ilikuwa aibu sana pale kitaa, yaani naletewa uji hospitali kisa nimechomwa kisu na bubu baada ya kumtekenya hadharani.