Nilivyochomwa kisu tumboni na binti bubu baada ya kumtekenya hadharani

Kuna club nliwahi kwenda huko mkoani, baunsa pale mlangoni ni bubu.
Aisee pale hakuna soundi, huna hela huchomi ndani hakuna mastori. Ukizingua ukiwa ndani akiitwa tu akaja, yeye anakubeba anakurusha nje utajua mwenyewe. Hakuna kuanza kujielezea. Na ukitolewa nje haurudi tena labda kama una namba ya meneja umcheki aje akushike mkono uingie nae.
Hata Empire cinema zamani kulikuwa na gate man bubu hataki maneno ni mwendo wa tiketi tu
 
Ndo ukome
Mtaani kuna mama alikuwa na mgahawa wake,hapo mgabawani kulikkuwa na mabinti watatu
Mmoja kati ya hao mabinti alikuwa bubu na nilikuwa nampelekea moto kiaina,hakuna mtu mtaani alijua uhusiano wetu maana ulijengwa kwa usiri.

raha ya kudate na bubu ni kwamba siri hazitoki nje maana hawawezi kupiga umbeya.

Siku moja nikaenda mgahawani kula nikamkuta anakatakata nyama nikazunguka nyuma nikamtekenya ile ya kupush vidole viwili kwenye nyonga karibu na kiuno.both sides.

Tatizo nilijisahau nikaleta masihara ya chumbani ofisini

Binti aliruka kama anataka kupaa ,alivyoshuka chini tu akanichoma kisu tumboni kwa hasira

Ilikuwa aibu sana pale kitaa

Yaani naletewa uji hospitali kisa nimechomwa kisu na bubu baada ya kumtekenya hadharani.
 
Kwa ujinga ulio nao huwez ishi ww naona kabisa ukifa kisa ngono unaleta mazoea wakati bubu ana mabwana zake wanamnunuza msosi kwa bei nzuri kukuzidi
We bado mtoto mdogo ukikua utaelewa
 
Naona ww umekua sasa unashika watu nyonga kwenye biashara zao hebu usijikute jitu zima na kama ni hivyo ww ni mtu mzima wa hovyo sana
Unajua hii ni stori ya mwaka gani?
Ujana wetu tumefanya ujinga mwingi sana ukiamua kuleta visa humu server itajaa.
Watoto wa siku hizi ni broilers tu hamna cha kuhadithia wajukuu
 
Mkuu ulimtongozaje huyo bubu[emoji2][emoji2][emoji2],tupe maujanja
 
Unajua hii ni stori ya mwaka gani?
Ujana wetu tumefanya ujinga mwingi sana ukiamua kuleta visa humu server itajaa.
Watoto wa siku hizi ni broilers tu hamna cha kuhadithia wajukuu
Kwahyo utahadithia wajukuu zako kwamba ulimtekenya bubu ukachomwa kisu labda hao wajukuu wamsikilize babu wa hovyo na kwa akili zako sijui kama utaona wajukuu maana hata busara ya uandishi huna 😂😂😂😂😂 jitetee ila ww ni binadamu wa hovyo sana
 
Kwa hiyo ushatoka hospitali au bado unaendelea kugonga uji hospitalini
 
Mtaani kuna mama alikuwa na mgahawa wake,hapo mgabawani kulikkuwa na mabinti watatu
Mmoja kati ya hao mabinti alikuwa bubu na nilikuwa nampelekea moto kiaina,hakuna mtu mtaani alijua uhusiano wetu maana ulijengwa kwa usiri.

raha ya kudate na bubu ni kwamba siri hazitoki nje maana hawawezi kupiga umbeya.

Siku moja nikaenda mgahawani kula nikamkuta anakatakata nyama nikazunguka nyuma nikamtekenya ile ya kupush vidole viwili kwenye nyonga karibu na kiuno.both sides.

Tatizo nilijisahau nikaleta masihara ya chumbani ofisini

Binti aliruka kama anataka kupaa ,alivyoshuka chini tu akanichoma kisu tumboni kwa hasira

Ilikuwa aibu sana pale kitaa

Yaani naletewa uji hospitali kisa nimechomwa kisu na bubu baada ya kumtekenya hadharani.
Pole aisee
 
Angetoa utumbo kabisa na kutoa macho yote
 
Mmh humu kuna vituko sana yaani umekosa waongeaji unaenda kumla bubu aisee nyie ndio hadi vichaa mnawala kabisa na ndio mnawapaga mimba unamkuta kichaa mjini anawatoto kwanini msiwe na limit??
Nae ni binadamu lzm awe na matamanio ya sex
 
Kuna club nliwahi kwenda huko mkoani, baunsa pale mlangoni ni bubu.
Aisee pale hakuna soundi, huna hela huchomi ndani hakuna mastori. Ukizingua ukiwa ndani akiitwa tu akaja, yeye anakubeba anakurusha nje utajua mwenyewe. Hakuna kuanza kujielezea. Na ukitolewa nje haurudi tena labda kama una namba ya meneja umcheki aje akushike mkono uingie nae.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duhhhh Wana balaa
 
Back
Top Bottom