Nilivyochomwa kisu tumboni na binti bubu baada ya kumtekenya hadharani

Nilivyochomwa kisu tumboni na binti bubu baada ya kumtekenya hadharani

Ww si mjinga ungetakiwa ufe kabisa wapumbavu kama nyie hamna hakinya kuishi
 
Mmh humu kuna vituko sana yaani umekosa waongeaji unaenda kumla bubu aisee nyie ndio hadi vichaa mnawala kabisa na ndio mnawapaga mimba unamkuta kichaa mjini anawatoto kwanini msiwe na limit??
 
Mmh humu kuna vituko sana yaani umekosa waongeaji unaenda kumla bubu aisee nyie ndio hadi vichaa mnawala kabisa na ndio mnawapaga mimba unamkuta kichaa mjini anawatoto kwanini msiwe na limit??
Usifananishe kichaa na bubu,kwani jikiwa beach bacheza na bubu utajua,au ukimkuta yupo home anawatch tv utajua
 
Wanaanza kwa sex chart hadi wanakuwa hot ndipo kukutana wakimaliza wanahadithiana game ilivyokuwa kwa text tena.
😂
Ukitaka kubadili style nyingine ni kumbinua tu kwa nguvu.

Ila kazi Mwanamke akutane na bubu wa kiume😅
 
[emoji23]
Ukitaka kubadili style nyingine ni kumbinua tu kwa nguvu.

Ila kazi Mwanamke akutane na bubu wa kiume[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila wewe umejua kunichekeshaa
 
Screenshot_20221231_201307_Chrome.jpg

Wewe ni mzee wa hovyo au hii stori yako ni chai.
 
[emoji23]
Ukitaka kubadili style nyingine ni kumbinua tu kwa nguvu.

Ila kazi Mwanamke akutane na bubu wa kiume[emoji28]
Na bubu wa kiume wanapendaa hao kuna mmoja alikuwa anatumia huo udhaifu wake kuwakula wadada yani anabadilisha hatari
 
Ww utakufa utaniacha ,ndio kwanza natakata pumbavu
Kwa ujinga ulio nao huwez ishi ww naona kabisa ukifa kisa ngono unaleta mazoea wakati bubu ana mabwana zake wanamnunuza msosi kwa bei nzuri kukuzidi
 
Kuna club nliwahi kwenda huko mkoani, baunsa pale mlangoni ni bubu.
Aisee pale hakuna soundi, huna hela huchomi ndani hakuna mastori. Ukizingua ukiwa ndani akiitwa tu akaja, yeye anakubeba anakurusha nje utajua mwenyewe. Hakuna kuanza kujielezea. Na ukitolewa nje haurudi tena labda kama una namba ya meneja umcheki aje akushike mkono uingie nae.
 
[emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom