Nilivyochomwa kisu tumboni na binti bubu baada ya kumtekenya hadharani

Kwahyo utahadithia wajukuu zako kwamba ulimtekenya bubu ukachomwa kisu labda hao wajukuu wamsikilize babu wa hovyo na kwa akili zako sijui kama utaona wajukuu maana hata busara ya uandishi huna 😂😂😂😂😂 jitetee ila ww ni binadamu wa hovyo sana
Watanionaje wa ovyo wakati kila mjukuu baba yake na mama yake nimewaachia urithi wa nyumba na nimewasomesha wazazi wao
 
Kwahyo ukaona nyumba ndio urithi wa maana nyumba hata kobe anayo 😂😂😂😂😂😂 alafu elimu ni haki ya msingi hata kwenye katiba ipo kwahyo usijisifie kutoa elimu hapo umetimiza haki ya msingi ambayo ni lazima wapate we vp dogo huna jipya
 
We mbona baba yako hajakupeleka shule
 
Kuna club nliwahi kwenda huko mkoani, baunsa pale mlangoni ni bubu.
Aisee pale hakuna soundi, huna hela huchomi ndani hakuna mastori. Ukizingua ukiwa ndani akiitwa tu akaja, yeye anakubeba anakurusha nje utajua mwenyewe. Hakuna kuanza kujielezea. Na ukitolewa nje haurudi tena labda kama una namba ya meneja umcheki aje akushike mkono uingie nae.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mtaani kuna mama alikuwa na mgahawa wake, hapo mgahawani kulikuwa na mabinti watatu. Mmoja kati ya hao mabinti alikuwa bubu na nilikuwa nampelekea moto kiaina, hakuna mtu mtaani alijua uhusiano wetu maana ulijengwa kwa usiri.

Raha ya kudate na bubu ni kwamba siri hazitoki nje maana hawawezi kupiga umbeya. Siku moja nikaenda mgahawani kula nikamkuta anakatakata nyama nikazunguka nyuma nikamtekenya, ile ya kupush vidole viwili kwenye nyonga karibu na kiuno both sides.

Tatizo nilijisahau nikaleta masihara ya chumbani ofisini. Binti aliruka kama anataka kupaa, alivyoshuka chini tu akanichoma kisu tumboni kwa hasira.

Ilikuwa aibu sana pale kitaa, yaani naletewa uji hospitali kisa nimechomwa kisu na bubu baada ya kumtekenya hadharani.
"
Ilikuwa aibu sana pale kitaa, yaani naletewa uji hospitali kisa nimechomwa kisu na bubu baada ya kumtekenya hadharani."
 
Mtaani kuna mama alikuwa na mgahawa wake, hapo mgahawani kulikuwa na mabinti watatu. Mmoja kati ya hao mabinti alikuwa bubu na nilikuwa nampelekea moto kiaina, hakuna mtu mtaani alijua uhusiano wetu maana ulijengwa kwa usiri.

Raha ya kudate na bubu ni kwamba siri hazitoki nje maana hawawezi kupiga umbeya. Siku moja nikaenda mgahawani kula nikamkuta anakatakata nyama nikazunguka nyuma nikamtekenya, ile ya kupush vidole viwili kwenye nyonga karibu na kiuno both sides.

Tatizo nilijisahau nikaleta masihara ya chumbani ofisini. Binti aliruka kama anataka kupaa, alivyoshuka chini tu akanichoma kisu tumboni kwa hasira.

Ilikuwa aibu sana pale kitaa, yaani naletewa uji hospitali kisa nimechomwa kisu na bubu baada ya kumtekenya hadharani.
😂😁😁😁
 
Back
Top Bottom