Sasa uwe na mahusiano na bubu halafu akufume na mtu mwingine,,,,,utajua umuhimu wa lugha ya alama
Wana wivu hatari,lazima zipigwe hapoSasa uwe na mahusiano na bubu halafu akufume na mtu mwingine,,,,,utajua umuhimu wa lugha ya alama
π Haya ngoja siku akuchome pangaAlikamatwa kwa muda nilivyotoka hospitali nikaenda kumtoa,polisi walisubiri nife wampeleke mahakamani ila sikufa
Watanionaje wa ovyo wakati kila mjukuu baba yake na mama yake nimewaachia urithi wa nyumba na nimewasomesha wazazi waoKwahyo utahadithia wajukuu zako kwamba ulimtekenya bubu ukachomwa kisu labda hao wajukuu wamsikilize babu wa hovyo na kwa akili zako sijui kama utaona wajukuu maana hata busara ya uandishi huna πππππ jitetee ila ww ni binadamu wa hovyo sana
Kwahyo ukaona nyumba ndio urithi wa maana nyumba hata kobe anayo ππππππ alafu elimu ni haki ya msingi hata kwenye katiba ipo kwahyo usijisifie kutoa elimu hapo umetimiza haki ya msingi ambayo ni lazima wapate we vp dogo huna jipyaWatanionaje wa ovyo wakati kila mjukuu baba yake na mama yake nimewaachia urithi wa nyumba na nimewasomesha wazazi wao
We mbona baba yako hajakupeleka shuleKwahyo ukaona nyumba ndio urithi wa maana nyumba hata kobe anayo ππππππ alafu elimu ni haki ya msingi hata kwenye katiba ipo kwahyo usijisifie kutoa elimu hapo umetimiza haki ya msingi ambayo ni lazima wapate we vp dogo huna jipya
Hongera mkuu kwa kujipatia swawabuSijakuelewa,huo wimbo naufahamu ila hauna uhusiano na huyu bubu
Mabubu nao ni watu na wanapelekewa moto sana tu
πππππ Sio lazima baba shule hata serikali inaniweza nipelekaWe mbona baba yako hajakupeleka shule
[emoji38][emoji38][emoji38]Kuna club nliwahi kwenda huko mkoani, baunsa pale mlangoni ni bubu.
Aisee pale hakuna soundi, huna hela huchomi ndani hakuna mastori. Ukizingua ukiwa ndani akiitwa tu akaja, yeye anakubeba anakurusha nje utajua mwenyewe. Hakuna kuanza kujielezea. Na ukitolewa nje haurudi tena labda kama una namba ya meneja umcheki aje akushike mkono uingie nae.
Njoo jukwaa la michezo utakuta uzi wangu,tuliyotazama kombe la dunia 1986 nyimbani kwa sheikh yahaya magomeni tukutane hapa.View attachment 2464731
Wewe ni mzee wa hovyo au hii stori yako ni chai.
πππ masela bhnKwahiyo ukaamua ukatongoze bubu Kwa sabab ulikuwa na uhakika hawez kutamka "sikutaki"?
Sent using Jamii Forums mobile app
"Mtaani kuna mama alikuwa na mgahawa wake, hapo mgahawani kulikuwa na mabinti watatu. Mmoja kati ya hao mabinti alikuwa bubu na nilikuwa nampelekea moto kiaina, hakuna mtu mtaani alijua uhusiano wetu maana ulijengwa kwa usiri.
Raha ya kudate na bubu ni kwamba siri hazitoki nje maana hawawezi kupiga umbeya. Siku moja nikaenda mgahawani kula nikamkuta anakatakata nyama nikazunguka nyuma nikamtekenya, ile ya kupush vidole viwili kwenye nyonga karibu na kiuno both sides.
Tatizo nilijisahau nikaleta masihara ya chumbani ofisini. Binti aliruka kama anataka kupaa, alivyoshuka chini tu akanichoma kisu tumboni kwa hasira.
Ilikuwa aibu sana pale kitaa, yaani naletewa uji hospitali kisa nimechomwa kisu na bubu baada ya kumtekenya hadharani.
Ilikuwa aibu sana pale kitaa, yaani naletewa uji hospitali kisa nimechomwa kisu na bubu baada ya kumtekenya hadharani."
ππππMtaani kuna mama alikuwa na mgahawa wake, hapo mgahawani kulikuwa na mabinti watatu. Mmoja kati ya hao mabinti alikuwa bubu na nilikuwa nampelekea moto kiaina, hakuna mtu mtaani alijua uhusiano wetu maana ulijengwa kwa usiri.
Raha ya kudate na bubu ni kwamba siri hazitoki nje maana hawawezi kupiga umbeya. Siku moja nikaenda mgahawani kula nikamkuta anakatakata nyama nikazunguka nyuma nikamtekenya, ile ya kupush vidole viwili kwenye nyonga karibu na kiuno both sides.
Tatizo nilijisahau nikaleta masihara ya chumbani ofisini. Binti aliruka kama anataka kupaa, alivyoshuka chini tu akanichoma kisu tumboni kwa hasira.
Ilikuwa aibu sana pale kitaa, yaani naletewa uji hospitali kisa nimechomwa kisu na bubu baada ya kumtekenya hadharani.