Nilivyoelewa hotuba ya Rais Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
1. Mh Rais nadhani haamini kama wengi tunavoamini kwamba suspect wa kwanza wa mauji ya usalama ni vyombo vya ulinzi na usalama

2. Nimeona akilaumu wanasiasa ati wanataka kuvunja amani yetu Sasa amani Gani tunayo Kwa Sasa watu wanatoka uhakika wa kurejea ni mdogo sana. Nadhani amani inatoweka hata kabla ya maandano ya amani yanayopangwa trh 23

3 4R anaona ni kama hisani, sio haki Kwa Watanzania

4.Anatamani kutumia philosophy za mtangulizi wake Kuwabana wakosoaji

5. Hana mpango wa kumwajibisha waziri Masauni na IGP

6. Rushwa, mauji kubambikia watu kesi Wanayotuhumiwa nayo polisi hajayazungumzia wala kuyakemea
 
 
Huyo mama sasa kanogewa na hayo madaraka!

Kwa hiyo anajifanya chura kiziwi, asiyetaka kusikiliza chochote kinacholalanikiwa na Umma wa watanzania na jumuia ya kimataifa!😭
 
Hatuna Rais bali picha ya mtu mwanamke katika Ikulu!

Samia hafai! Samia hatufai!
 
Haki Huinua Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…