ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
1. Mh Rais nadhani haamini kama wengi tunavoamini kwamba suspect wa kwanza wa mauji ya usalama ni vyombo vya ulinzi na usalama
2. Nimeona akilaumu wanasiasa ati wanataka kuvunja amani yetu Sasa amani Gani tunayo Kwa Sasa watu wanatoka uhakika wa kurejea ni mdogo sana. Nadhani amani inatoweka hata kabla ya maandano ya amani yanayopangwa trh 23
3 4R anaona ni kama hisani, sio haki Kwa Watanzania
4.Anatamani kutumia philosophy za mtangulizi wake Kuwabana wakosoaji
5. Hana mpango wa kumwajibisha waziri Masauni na IGP
6. Rushwa, mauji kubambikia watu kesi Wanayotuhumiwa nayo polisi hajayazungumzia wala kuyakemea