Nilivyoelewa hotuba ya Rais Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi

Watanganyika kazi mnayo.
Watanganyika wajinga sana.
One lady from small village ana mamlaka juu ya Tanganyika yote na wakuu wa usalama wanampigia salute while Mtanganyika haruhusiwi hata kuwa Sheha wa nyumba kumi huko kwao
Hama nchi. Hamia kwa wenye akili kama wewe!
 
Kwa huyu maza tulipigwa asee
 
Leo kavurugwa mnooooo, sidhani kama kuna MTU kamuelewa, kila alichoongea kilikua kinaji-contradict
 
Unataka ni sisi tuone hivyo?
 
Kama taifa tumepoteza macho.Dola imechanganyikiwa na haifikiri tena sawa sawa,
 
Katiba inasema ulizi unatolewa na jamii-polisi siyo jamii bali sehemu ya jamii
🤣We jamaa sijui kichwani umejaza Nini

Yaani polisi pale benk Huwa wanafanya Nini kama sio ulinzi

Mahakamani?
Doria?
 
Naona sasa ujasiri wa kuongoza nchi unakuja. Hayo ndio mambo mama. Pale alipowarudishaga walele watoto pendwa nikajua ashatepeta lakini alivyowatoa baadhi na kauli ya Leo naona ujasiri umeongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…