Elon J
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 635
- 1,907
Nikuwe mara ngpš”Ukikua utaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikuwe mara ngpš”Ukikua utaelewa
Njia fupi na ya uhakikaUngemtafuta mtu wa database ya NIDA ungemtia alfu 50,000 angefuta taarifa zako za awali halafu ukajaza upya zikaingizwa chap unapata namba.
Sio kama hawajui taratibu,ni uvivu tuBinti yangu kafanikiwa kubadilisha, lkn huko ardhi hatukwenda. Shida ni kwamba wafanyakazi wa nida wao wenyewe hawana taarifa sahihi ya nini cha kufanya, ukienda leo unaambiwa kalete moja, mbili, tatu, kesho yake ukienda unakutana na mwingine nae anakwambia kafanye moja mbili tatu.....nenda rudi ni nyingi but tulifanikiwa
Now watu wanapambania ajira mkuu sio uzalendo Tena.Sasa huyo polisi aliyejiunga kimagumasi atakuwa mwaminifu ???
Ni lazima maana ndiko aliko msajili wa hati zote.Nimezisoma hizo hatua nusu nitapikeš„ Sasa mambo ya NIDA unaenda mpka ardhi kufanya nn
AiseeHii nchi iko complicated sana
Me kipindi nafatilia passport yangu ..walikosea tarehe ya kuzaliwa kutokana na cheti cha kuzaliwa kilikua na makosa kwenye tarehe ya kuzaliwa
yule afisa uhamiaji tutakubaliana nkashughulikie cheti cha kuzaliwa then nlete copy sahihi ya cheti kipya ,nkafanya hvyo cha ajabu passport ikatoka na tarehe ya zamani ya cheti chenye makosa...nlimind sana
Ikabidi nifanye mchakato upya wa ku apply passport nyingine ...kwenye hichi kipengele nlikutana na vikwazo mpaka ikabidi nikubali kutoa hela ili wanisaidie chap...ila bila hvyo ningehangaika sana
Unafanyaje hivyo?Tupe maujanja hayo inboxUngemtafuta mtu wa database ya NIDA ungemtia alfu 50,000 angefuta taarifa zako za awali halafu ukajaza upya zikaingizwa chap unapata namba.
umewezaje kubadili nina changamoto za kukosewa mwakaMimi niliwahi kumbadilishia Hadi mwaka wa kuzaliwa msela wangu ili aingie polisi kwa gharama za kawaida sana
Mwaka hakuna process ndefuumewezaje kubadili nina changamoto za kukosewa mwaka