Nilivyofyeka shamba la jamaa aliyeniibia mpenzi wangu


Hii najua haikupunguza maumivu ya kuchukuliww mwanamke na wala haukumaliza kiu yako ya kisasi!
Mwanamke alikurudia baada ya kumuacha jamaa?
 
Ni ujinga, ungedeal na mpenzi wako.mwenye tamaa. Hakumshikia bunduki ukiendelea hivyo utafyeka mashamba ya watu wa ngapi? Badala ya kudeal ma tatizo una deal na matokeo. Hakukuibia ila alimtongoza akakubali
 
 
Kama huyo mwanamke unaye mpaka leo basi unashida sana! Kama alimtamani wa m3 jua hapo mtaani hadi wa laki 3 anaye
 
We ngoja kupigwa kipapai ukashindwa dampo tu huwezi kufyeka kirahisi ivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…