Nilivyoingia kwenye mahusiano na mke wa Mhindi

Jamani mbona kuamshana genye 😎
 
Kwa uandishi huu wa "phiysically", "eapoti" na "repoti" na unatuambia umesoma shahada ya kwanza Majuu na baada ya miezi tisa ukarudi kufanya Masters, acha tu niseme hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea.
 
huyo muhindi ni Manoji ana miji miwili mmoja isamilo mwingine kirumba
 
Hapo katikati kuna Chai kwamba Muhindi alikuachia mke wake umlinde. Haina tofauti na uongo wa Samia kusema mambo yameimarika wakati CAG kasoma wizi na hasara za kutosha
Huko mbali. Kwa uchumi wa kaka yake tu nilipoona kachagua usafiri wa treni dar yo mwanza ya kipindi hicho. Mmmh nikabaki kutagutia po tu usingizi
 
Kwa uandishi huu wa "phiysically", "eapoti" na "repoti" na unatuambia umesoma shahada ya kwanza Majuu na baada ya miezi tisa ukarudi kufanya Masters, acha tu niseme hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea.
naandika ili watu waelewe siandiki kuonesha elimu yangu,kama ulisoma izi wangu wa jinsi nilivyokutana na singo maza wa kiarabu utakuwa umepata ukweli wote maana niliandika hivihivi
 
We jamaa unataka kututoa kwenye reli ya "no reforms no election", sivyo?
 
Upupu wa kujitungia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…