Nilivyoingia kwenye mahusiano na mke wa Mhindi

Una moyo, wadosi wana papuchi zimepooza so in mno na nyingi zimakaa kama malaplap Yas zimenyambuka
 
leta story zenye kuvaa uhalisia, story ya kuacha kufanya kazi na ndugu yako mwenye vituo 7 vya mafuta na Hardware ukaamua kwenda kufanya kazi kwa Mhindi inafanya story ikose ladha kwa mtu mwenye uelewa mzuri, Wahindi tunawajua...ulipaji wao wa mishahara tunaujua, unyanyasaji wao tunaujua....uliza kijana yeyote anayefanya kazi kwa Mhindi....atakuambia....utaajiriwa kama dereva lkn kazi za kudeki....kufua...kupika...kupiga pasi, kwenda kubeba kapu la Mama wa Kihindi sokoni....kupeleka watoto kwenda kucheza (sport centre)
 
Hii stori umeirudia na umeigeuza geuza

Leo ,hujataka kabisaa kuzungumzia safari yako na usafiri WA TREN toka Dar ilikuwaje
Kwenye stori yako yakwanza ,nikwamba huyo mama wa kihindi mlikutana katika trenukielekea mwanza ila mlikuwa mnafahamiana na alikupenda sana na alikuwa jirani na rafiki WA dada Ako

Usione sisi wote ni mazombi

Sawa wewe,usirudie Tena
 
Utakuwa umechanganya mafaili ile alikutana na Dada wa Kiarabu akiwa nanenda Tabora na ndio alimpa mchongo wa kwenda Nkasi na Kirando kufanya kazi.
 
Safi sana kijana uliitendeq haki papuchi yake

Cc: cocastic
 
daaah umezidisha sana sukari.... 😀 😀 Wahindi wana tabia ya kubana sana matumizi, ripoti ya kazi akapokelee Hotelini??? na sio dukani???
ni kwakuwa huijui mwanza,hotel tilapia ndio hoteli ya wahindi kwenda kuka na kutumia,mwenye hoteli mwenywe ni singasinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…