kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #281
Kaka hata kugundua kama mmea upi unaliwa na upi hauliwi haikuwa kazi rahisi hivyo kuokana kwamba babu zetu hawakuwa na utaalamu mkubwa, walikufa watu wengi sana ili kuja na majibu ya mmea, samaki, uyoga, mdudu yupi analiwa bila kuudhulika na yupi ana sumu. Siku hizi sio hivyo, technolojia imerahahisisha sana ugunduzi, usafiri, upashanaji habari na hata kulima na kuvuna mazao. Sijui hofu yako kuhusu chanjo ya covid 19 ilitokana na nini hapo? Huna tofauti na bibi yangu ambae alikufa bila kupanda gari akihofia kupata ajali ya gari. Kama unaamini waliotengeneza simu na matumizi ya simu badala ya kuandika barua na kuituma posta kwanini usiwaamini waliotengeneza chanjo na matumizi ya chanjo? Kwani matumizi ya simu hayana madhara kwako?Wewe una uhakika gani kwamba unachokiamini ni sahihi.Unaamini tu kwa kuwa somebody has told you it is safe,very unintelligent.Tuanzie hapo.Pili wewe unadhani kwa nini serikali ilitaka usaini kabla hujachanja?Tatu,hivi kwa nini unajiaminisha kwamba Gwajima was the source of the information that C-19 Vaccines are deadly,kumbe wala sio kweli!Mimi kwa mfano,ni mtaalamu kwa hiyo najua kwamba mazingira yote ya C-19 management and administration ni unscientific,na hii kwa an intelligent mind should have been enough to deter anyone from taking the shot.
Wewe kama hatumiwi kuhamasisha chanjo uliingia kwenye mtego wa the NWO psychopaths kichwa kichwa mno.Pole mkuu,you are responsible for whatever will happen to you Kama kweli umechanja,ulipaswa kuwa makini zaidi.