Nilivyokula kuber mara ya kwanza

mbona mtandao wako hauna mzuka? reply zake za kidwanzi alafu mpaka uzipitshe wew🤣

dah Isa wewe kweli ni mkoloni🤣
Mkuu mzuka gani? Kwa reply 3 za mwanzo lazima ziwe reviewed, pia baadae nikipata kiasi fula nitaugrade kuwa kama huu ila mtaji sina for now
 
Mkuu mzuka gani? Kwa reply 3 za mwanzo lazima ziwe reviewed, pia baadae nikipata kiasi fula nitaugrade kuwa kama huu ila mtaji sina for now
Huu mtandao uko hapa miaka zaidi ya kumi na mbili na bado hata watu online 1000000 hauna
kafunge tu tukafanye vitu vya msing😀
 
Huu mtandao uko hapa miaka zaidi ya kumi na mbili na bado hata watu online 1000000 hauna
kafunge tu tukafanye vitu vya msing😀
Sawa karibu nataka niweke jukwaa la wakubwaa
 
Ni aina flan ya tumbaku lakini ilikuwa blaa
Mwambie tu ni Ugolo wa kihindi ulichanganywa na Bangi na majani mengine km Karafuu tunduizi, Ila unawekwa mdomoni na unachemka balaa Ugolo wenu wa kibongobongo ukasome

Rizra haijapigwa marufuku Ila Kuber ilipigwa marufuku faster wanaopiga marufuku na wenyewe wanaitumia, watapigaje marufuku Rizra wataipata wapi wakitaka kunyonga mjani ?
 
Magadi yanaongeza nini?
Yanakata stimu za kusex yanakata network hauhitaji na haujisikii kungonoka, pia yanaongeza test ya Ugolo kua mkali wengine wanawekaga na kichwa kile Cha mdizi mkungu wa ndizi pamoja na ule mkanda wake ni bonge moja la stimu hio NI locally prepared na Bibi huko kiwandani Cha kienyeji
 
Dah,2002 nikiwa A-Level kuna mtu alinipa nikaona kidogo. Aiseee, sitaki kukumbuka. Maisha haya.
 
Mwaka 2001 nikiwa Dodoma barabara ya 11. Nilikuwa nacheza karata na jamaa fulani wachagga (wauza maduka), mmoja alikuwa anakula sana kuber. Nikamuomba, akanipa. Nikaiweka mdomoni sijui ikawaje nikameza mate. Tumbo likaanza kama kuvuruga hivi na nikahisi kama kizunguzungu..kumbe nilikuwa nimelewa.

Sikuwahi kurudia ulevi ule
 
Ile ilikuwa zaidi ya madawa, ukimeza mate tu tayari umelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…