Pffuuuu pyufuuu. Mbona siku zote wewe ni mjivuni mwenye elimu uchwara. Eti unasema umo kwenye Cambridge Jorunal of African History! Kwani kuwa humo umeambiwa ndiyo kuijua hiyo history ya Africa usiyoijua? Hoja yangu na Mayalla ni simpo kuwa daktari wako Mutahangarwa siyo muafrika wa kwanza kuhitimu utabibu. Kubali umechamesha. Kama alivosema ndugu yangu Paschal kuwa kuna watu wanaoamini hawakosea japo hata huyo mtume wao alikosea alipotaka kuharamisha asali simply because mke wake "aliichukia" kama kisingizio cha kumkomesha mke mwenzie. Sijui ungekuwa na PhD kama mimi ungesemaje mwanangu. Kweli umeweka facts japo siyo zote ni za kweli kama kudai eti Dk Mutahangarwa ndiye muafrika wa kwanza kupata shahada ya utabibu. Wewe ni mtu wa ubishi na all knowers who doesn't want to be faulted even where you are obviously faulty my friend. Kuelimika ni kukubali mapungufu yako na makosa kama vitu vya kawaida. Nashangaa kuona mtu anayejiona msomi akiwa na tabia zisizo za kisomi. Wewe unashangaa sisi kutokuelewa eti kwa vile ulialikwa kwenye vyuo mbali mbali! Mie nafundisha chuo na natembelea vingine lakini bado sijioni kama sikosei. Nimechapisha vitabu na sura nyingi kwenye vitabu vya kiada lakini sijioni najua kila kitu. Ndo maana hata mwanangu wa miaka tisa ananifundisha kucheza games na baadhi ya mambo ambayo–––thanks to generational gap–––wazazi wangu hawakuniwezesha na namkubali bila kujihisi amenishushia heshima. Naona kama unajiona kama muungu fulani. Maana ni miungu pekee ambayo haikosei ila si kiumbe aliyezaliwa na mwanamke. Huna haja ya kuomba radhi kwa kujifichua na kuelezea uloeleza yakiwa na mapungufu tu. Umejitahidi kuonyesha ulivyo mkereketwa wa historia ya TANU ili kuwaibua babu zako na waislam wenzako (na si watanganyika wala watanzania0 kwa vile wewe ni mdini na mhafidhina. Aibu pale uliopoandika "kuna watu wanakuja hapa kwa kujaribu kunitisha kwa kuandika kiingereza." Mbona haya mawazo ya kijima. Kiingereza ni lugha sawa na kimakonde. Hivyo, kaka tulia. Usiogope. Hakuna anayekuja wala kuwa hapa kukutish. Kama hujui au unakiogopa kimombo, hiyo shauri yako. Ningejua kiarabu–––lugha yako takatifu–––ningetumia lau uweze kujiamini. Sijui ndugu yangu Mayalla kama anaimanya anisaidie kukuelimisha na kukujengea kujiamini na kutuamini kuwa tuna lengo moja tu, kukuelimisha na kukuaminisha kuwa kukosea ni jambo la kawaida kwa binadamu hasa msomi kama wewe nasi. Usitushangaa kukushangaa kwa namna unavyojinasbu na kujionyesha kama nguli wa historia wakati bado unahitaji kufunzwa lau uwive.
Kwa leo naishia hapa kukushauri kuwa usiogope wala kuchukia. Sifa mojawapo ya usomi wa kweli ni kukubali makosa na mapungufu yako kama social being my friend.
Father...
Hakika unaandika vyema na unavyoandika kunatambulisha elimu yako.
Naamini Thesis yako itakuwa imepangika vizuri zaidi.
Tunastaili kukupa heshima.
Lakini mimi nilikuwa nawaeleza madaktari watano wanachama wa TAA na mmoja wao Dr. Joseph Mutahangarwa ndiye Muafrika wa kwanza kuhitimu uganga.
Iweje iwe ghafla anakua Mwafrika wa kwanza duniani?
Wahariri wanne kosa hili hawakuliona.
Nimefurahishwa sana na "jorunal," lakini najua kwa nini kalamu inakuponyoka.
Ukiwa na ghadhabu akili inakupokonya umakini.
Lakini sijui.
! huwa haitumiki katika uandishi kama huu.
Unaandika, "muafrika," "umechamesha," "hawakosea," "muungu," "waislamu," "watanganyika," "watanzania0," "kiingereza," "usitushangaa," "unavyojinasbu."
Huyu ndugu zangu ndiye Ph D mwalimu wa Chuo Kikuu.
Ilikuwa toka mwanzo nimjue bila ya mimi kufikiri kuhusu uwezo wake wa utambuzi alipokuwa anashindwa kuweka mipaka ya Mwafrika wa kwanza katika TAA Mwafrika wa kwanza duniani.
Sasa najiuliza Thesis aliandikaje na anasema anaandika vitabu vya kiada.
Pascal angemwita huyu mtu wa "maurongo."
Hivi kweli mtu kama huyu anastahili muda wangu?
Pigeni hesabu maneno aliyoandika na makosa aliyofanya kisha tazameni "ratio."
Sikujibu tena.
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as
Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
Contributing author for an African anthology:
The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam
Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam
The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam
Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam
In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
Awards: Several Awards
Visiting Scholar: (2011)
University of Iowa, Iowa City, USA
Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
OTHER COUNTRIES VISITED
Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.