Nilivyokutana na 'singo maza wa kiarabu'

Nilivyokutana na 'singo maza wa kiarabu'

Haya ngoja niendelee na nizimgatie ushauri kuwa niwe naandika aya,sawa.

Sasa baada ya siku 30 boss wangu alinipigia simu ya upepo kuwa atakuja wiki ijayo kwa ajili ya kunipeleka kwenye assignment 2.
Wakati nikisubiri niliendelea na kazi kwa bidii sana na kila kitu kilikuwa kinaendelea vizuri na kwa ubunifu mkubwa nilijenga guest house moja ya kisasa,na bahati nzuri maji hapo ni mengi na umeme niliweka solar yenye nguvu sana.

Siku ya boss kufika,iliwadia na alifika mida ya saa 1 usiku na alinikuta nipo tayari na repoti nishaandika,guest house ishaandaliwa na kila kitu kipo okay,boss alikuja na yule singo maza wa mkonze.Boss alishangaa sana kuona guest house ya maana ishajengwa na ina kila kitu,vinywaji na chakula vishawekwa sawa na alimuuliza yule singo maza huyu kijana ulimtoa wapi,ni mchapa kazi sijapata kuona,husna akamjibu huyu amerithi kwa baba yao.
Basi siku hiyo nilimpa brief fupi tu ila nikamwambia kuwa kesho nitawasilisha kazi site aone kile nitakachokuwa namuelezea.Basi tukaenjoy na boss akaenda kulala,mie nikajua leo nakula mzigo,kumbe husna analiwa na boss kubwa.Nikapokea kinote kutoka kwa mfanyakazi wangu mmoja,husna akiniambia we mezea tu,siji huko kwako.Mie kimya nami nikavuta mwalimu mmoja ndiye aliyeshika ukanda,ni mdada mmoja wa kikonongo ambae wakati huo alikuwa na kamimba kachanga na nilikuwa namla sana na kuna wakati alikuwa analia mno nimpumzishe maana nilikuwa namkanyaga kila siku.Kuhusu hiyo mimba nitaieleza siku nyingine.

Kesho yake baada ya chai tukaelekea site,ambapo nilipresent overall picture ya kazi na wakuu wangu wa idara nao wakawasilisha kazi zao na tulikuwa tumefikia 60% ya kazi na ubunifu niliouleta ni kwamba kila tulipofyeka,tulilima ngano,hapa boss alifurahi mno maana alikuta nimeanzisha idara ya kilimo,mbegu na umwagiliaji ambayo inasimamiwa na bwana shamba niliyemuajiri na tayari tushalima ngano,bustani kubwa ya mbogamboga ambayo tulilenga kuuza sumbawanga,mji wa namanyere na miji mingine.
Tuliwasilisha repoti yetu na boss alifurahi sana na akaniambia sasa anataka kunipeleka kirando mtakuja.Lakini husna aliniambia kuwa kaka yangu kamtuma kuniijia maana nahitajika huko mkonze.
Kirando mtakuja
Ni mji ulio pembeni mwa ziwa victoria,huo mji umejaa mchanganyiko wa wabemba,waha,wafipa,wakongo na waarabu.Tulifika mida ya saa 11 jioni na tukalala gesti ila boss alienda kwa matajiri wenzie.Kesho yake tukapanda boti ya injini kuelekea manda kerenge,ambako nilikuwa napelekwa kwenye kambi ya uvuvi.Husna aliachwa kirando mji wenye maraha mengi mno na fununu za uchawi mwingi sana.Tulipofika nilikabidhiwa kwa kiongozi wa idara ya uvuvi ambayo ina kambi manda kerenge,kipili na mvuna ila kambi kubwa ipo manda kerenge,sehemu moja inaitwa mkigoma.
Hapa pia kuna hadithi tamu mno.Nilipewa taarifa nzima na nikamwambia boss,asante ila naomba yeye aondoke aniache mimi niipange hiyo idara ya uvuvi upya,na boss kubwa alikubali.

Nitaendelea baadae
Hebu subiri kwanza, umesema Kirando ipo pembezoni mwa ziwa Victoria!!!???
 
S
1.4 Upangaji wa safu ya kazi
Nilienda kirando na wakuu wote wa mradi wa boss huko kirando na niliwapangia gesti moja ila mimi nilipanga nyumba nzima ambayo ndio iliyokuwa makao makuu ya shughuli za uvuvi.

Kwa kifupi mradi wa manda kerenge ni mradi wa uvuvi wa dagaa,ambao ulikuwa unamuingizia boss wangu pesa nyingi na kwakuwa ni mradi wa pesa ulikuwa na fitna nyingi,uzandiki,usaliti na kila aina ya uasi na ushetani.
Siku ya pili baada ya kufika kirando nilifanya kikao kirefu na wafanya kazi wote,kikao kilikuwa kirefu na cha kujifunza mambo mengi mno na hapa mkumbuke mie sina ujuzi wowote na uvuvi
Niliandika notes nyingi mno ambazo ndio zilizonipa ufahamu wa kuisimamia vizuri hiyo kazi.
Kikao changu kilikuwa cha siku nzima na tulimaliza saa 1 usiku na niliwaaga wenzangu kuwa tukutane saa 3 usiku kwenye ukumbi ambako huwa pana muziki.

Usiku huo wafanyakazi wote wakaja na walikuwa na mapatna wao
Sasa wale waganyakazi walivyoondoka mimi nilimwita loliwe na nikamhoji vitu vingi ambavyo nilitaka maoni yake,akanipa
Baadae nilimwita chumbani nikamwambia kuwa namtegemea kwa vitu vingi sana,hivyo awe mkweli na asinidanganye.
Na ili niwe nae karibu nilimwambia awe mpenzi wangu iki tujenge udugu,akaniuliza lakini wewe si unamla dada,nikasema ndio namla dada yako wewe unajua lakini dada yako hatajua kuwa mimi nakula wewe.
Loliwe akaingia line,nikamwambia ajitayarishe ili aende ukumbini na nikamwambia anitafutie demu wa geresha ili watu wasiushtukie mchezo.

Aisee siku hiyo watu walienjoy,niliruhusu bia 4 kila mtu,zaidi ya hapo ni kujitegemea,nyama na vyakula vingine vilikuwepo na mziki.

Watu wakafurahi mno,na mimi nilichukua mpini wa solo na nikapiga miziki 3 then nikarudi eneo langu na hapo nilikuwa na demu mmoja ni mnyamarungu,ni kabila moja la huko zaire.
Mimi niliaga saa 6 usiku nikarudi room kwangu na loliwe akaja baada ya saa 1 akaingia room kwangu,akaoga na nikampa bia 2 alikuwa na khanga tu,huku anakunywa nikawa namtomasa tomasa na kumuandaa mpaka akatepeta sana.
Ndipo nilipoanza nae romance ambazo alikuwa hajawahi kukutana nazo na baada ya muda nikaanza kumnyandua,na kama kawaida yangu stamina ilikuwa juu mno,mbinu za kunyandua ni nyingi na mbegu nilimwagia nyingi mno,aliongea kila maneno nami nikiea namchochea aongee na nilimkanyaga sawa sawa,huku ananiuliza yasni anakuka raha jamani usiniache,nami namjibu sikuachi,nilishambulia papuchi hadi saa 9 nikamtoa akalale kwenye room yake.
Kesho yake niliwaambia staffs wote wapumzike mpaka saa 11 jioni waje kusikia safu nilivyozipanga

Na kweli saa 11 jioni staffs wote wakaja kusikia safu ilivyopangwa.Na upangaji wa hiyo safu niliufanya peke yangu sikumshirikisha mtu yoyote yule.

1.5 Natangaza safu ya uongozi
Niliwasalimia na meza kuu nipo mimi na yule mwarabu wa bosi.Nikaitangaza safu yangu kama ifuatavyo:
1.mratibu mkuu wa kambi zote,kazi ambayo ilikuwa ya huyo mwarabu nikamtangaza mzee kamoya ambae alikuwa katekista na mwarabu nikamhamishia kwenye shamba kule china
2.Afisa usalama mkuu nikamtaja mzee mmoja ambae alikuwa polisi na nilimtoa bismark kasanga
3.Mkuu wa logistiki,manunuzi na maghala nikamtaja loliwe
4.Mkuu wa idara ya vifaa vya uvuvi na matengenezo nikamtaja mtu mmoja ambae hapa namwita mapera
5.Mkuu wa idara ya wavuvi,matibabu na sherehe nikamtaja mama mmoja ambaye hapa namwita hawa,ambae nilikuwa namhisi ni mtu wa system ila halo katumwa kwa kazi maalumu
Nikamaliza hotuba wakapiga makofi na nikawabia safari ya kurejea manda kerenge ni kesho saa 3 asb na wote wawepo ziwani kwani mtumbwi utakuwa tayari na niliwaambia ntasubiri dk 5 tu mtu asipotokea tunaondoka
Mwarabu nikamwambia kuwa yeye tunarudi nae ili akamkabidhi mzee kamoya kila kitu na nimuandalie safari ya kwenda china,kinafiki akasema sawa lakini moyoni roho imemuuma vibaya
Alikabidhi kazi na akaniambia anaondoka hataki kwenda china,nikamwambia kila la kheri
1.5.Mkono wa chuma
Kazi ya uvuvi niliisimamia kwa mkono wa chuma,sikutaka narenare wala urafiki na mtu,hata ngiya na loliwe niliwaambia kai kazi na nikiwaota room kuwanyandua,nawanyandua sawasawa,pale kwangu loliwe nilikuwa simnyandui hapo nilikuwa naenda kwake hapo nilikuwa nanyandua ngiya peke yake.
Nilimpa ngiya mapenzi ya nguvu ya nguvu kwelikweli,loliwe yeye ilikuwa ni kumnyandua tu na ndio alikuwa spy wangu mkuu na alifanya kazi yake vizuri japo mara kadhaa alikuwa ananiambia kuwa dada yake anahisi kitu,nilimwambia tulia

Mwarabu alirudi swanga akaenda kwa boss mkuu kushtaki ha ha bosi mkuu akamwambia huyo bwana ndio boss akiamua kitu hawezi kupinga.
Afisa usalama wangu ndio alikuwa bodigadi wangu maana nilianza kuhisi michezo mibaya inapikwa.Katekista alifanya kazi vizuri sana nikatoa matofali na mabati ili kanisa la kikatoliki lijengwe haraka sana na nikatoa pia matofali na mabati ya msikiti,pia nilitoa mchango kwa kila dhehebu la kikristo bila ubaguzi,baada ya mwezi mmoja nilirudi shambani kwangu china na kumkuta mwalimu kitumbo kimefutuka.Nilimpenda mwalimu sana na nilikuwa naenda nae hadi namanyere na kuna siku nilimtambulisha kwa mkurugenzi wa halmashauri na nkasi the late deo kithama,mkonongo alitaka kuzimia kwa woga.
Mkonongo wangu akaanza kudai utambulisho rasmi kwetu,nikamwambia tulia mambo ni polepole,akawa mkali lakini mie sikumuendekeza nilijua ni mimba inamsumbua,niliongeza matumizi kwake na kuna siku nilipigiwa rwdio call na boss wangunkuwa kesho yake nuende swanga kuna dharura.Mkonongo wangu akaniambia anakuja na yeye nikaona kupunguza ugomvi bora niende nae
Kweli asubuhi tukapanda landrover ya shamba mpaka swanga.
Niliambiwa niende moja kwa moja kwa boss ambae alikuwa kwenye nyumba moja kule jangwani,ambapo ndio na mimi nilikuwa nafikia.
Nikamkuta kaka yangu na yule singo maza wa kiarabu na boss pia yupo
Nikamtambulisha mkonongo kwa kaka,kwa boss kubwa na kwa singo maza.Dah mkonongo alitaka kulia kwa furaha nilipomrefer kama mke,kitu ambacho kilimkera sana kaka yangu,lakini kwakuwa ni mtu wa busara alikaa kimya kwanza nikaambiwa nimpeleke room huyo mke wangu na ndipo kaka alilipuka kwa hasira imekuwaje nimekuja huku kuajiriwa,nikamjibu kuwa ni huyo singo maza ndio aliniunga na huyo boss na nimeifurahia sana hiyo kazi,ndipo kaka akasema kesho asubuhi tunaondoka na wewe kwani unaenda ulaya kusoma
Dah nikarudi kumwambia mkonongo wangu ambae ukweli alikuwa ananizidi umri
Basi usiku kaka,mimi na mkonongo tukatoka na singo maza pia alikuwepo.
Kaka akamwambia shem wake kuwa huyu anaenda kusoma lakini matunzo ya hiyo mimba atayasimamia yeye na kwamba asubuhi tunaondoka na akampa mzigo wa pesa mkonongo ambae nililala nae na siku nzima alikuwa analia tu na nilimwambia atulie tu.Kesho tukaondoka hadi kwetu ambapo sikukaa zaidi ya mwezi nikaondoka,jalo nilimlamba tena singo maza kama mara 3 hivi kabla sijaondoka.Lakini pia niliagana kwa furaha kubwa sana na boss ambae alinipa mzigo wa kutosha kama asante kwa kazi nzuri
2.Mwisho
Singo maza alinipa experience mpya kabisa duniani,hakika namshukuru japo kwa sasa sijui yu wapi japo aliondoka kwenda uarabuni
Mkonongo kaka aliilea mimba na mtoto pia na akaolewa kwa ndoa kabisa na yule mwarabu ambae ni rafiki yangu aliyenipa huyo mkonongo na kwa sasa wanaishi uarabuni,yule mtoto wangu kaka alimpeleka udsm akasoma uhandisi baadae akampeleka marekani kuongeza ujuzi na baadae akaenda uarabuni kwa mama yake ambako ndiko anafanya kazi na kawa raia wa huko
Miaka 15 baadae nilienda kumwona mwanangu niliyezaa na mkonongo,nilikutana na boss wangu,akanipa repoti ya manda kerenge na akaniambia kuwa ngiya na loliwe,walijifungua watoto ambao ni wa kwangu maana walitoka machotara japo walirejea kwao moba ambako ni kongo kwa sasa.
Sina mawasikiano nao.Mwaka juzi mkonongo alikuja na mumewe kwenye mazishi ya baba yake,nilipata bahati nikaongea nae tukiwa 2 alinitukana tusi ambalo humu siwezi kulisema.Huo ndio mwisho wa huu mkasa wangu ambao aliuanzisha singo maza,ambae namshukuru mno mpaka leo.Mimi sijui kuandika,kwa sasa nina miaka 64 just at home nikifurahia maisha ya dunia yenye kila aina ya vituko,karaha nafuraha.
Asanteni na Mungu awabariki nyote,sasa nawasubirinwale watukanaji mje kunitukana
Shikamoo baba
 
Sasa hebu tulia kidogo local picture ukiwa huko majuu watu wakuelewe mana watakuja sana hapa kuku beza
majuu nikienda miaka mingi kusoma,na kwa sasa nipo tanzania nimetulia home,majuu huwa naenda kusalimia ndugu na watoto tu,sasa mtu aje kunibeza ili iweje
 
Ndio maana nilisema Mungu alinilinda kabisa,kuwapata wale watoto wa ngiyamthanda na loliwe sio rahisi kabisa maana walienda moba,ambapo ni jirani sana na mvuna ni mwendonwa boti ya mashine ni saa 8 hivi
Kwakweli
 
Aisee huyo singo maza wa kiarabu,acha kabisa,alikuwa mtamu sijapata kuona,na aliunganisha na watu nyie acheni tu. Hebu niwapeni hii habari:

Maisha katika wilaya mmoja mkoani Tabora.

Nikiwa toka darasa la saba namuona huyo mama maana alikuwa jirani na sisi ni mtu mmoja mrembo mweupe sana na alikuwa akifanya biashara na alikuwa akitembea na matajiri matajiri tu. Kila nilipokuwa nakutana nae nilikuwa namuamkia kwa heshima na adabu.

Nikamaliza kidato cha 4 bado namuona na tunasalimiana vizuri tu nikamaliza kidato cha 6 nikawa nipo hapo kwetu nasubiri maamuzi ya wazazi wangu juu ya mustakbali wangu wa baadae na wakati huo nishakuwa active sexually na niliwahi kuzama penzini na mdogo wake na huyo singo maza na nahisi alijua maana aliwahi kuniambia kitu fulani hivi nikashtuka lakini hapakuwa na shida yoyote.

Siku moja nilisafiri hadi Dar kwa treni kumsindikiza dada yangu ambae alikuwa anasafiri kwenda nje ya nchi kusoma. Tulipofika Dar tulikaa kama siku 6 hivi na kabla hajaondoka akanikatia tiketi ya treni Dar to Tabora first class na alipoondoka mie nilikaa kama siku 2 ndipo nirejea kwetu kwa treni, Tabora na dada alinipa pesa za kutosha kabisa maana ilinibidi kulala tabora kabla ya kurejea hiyo wilaya niliyokuwa naishi.

Safari ilikuwa nzuri sana maana treni wakati huo ilikuwa nzuri sana, kila kitu kilikuwa kipo ok, buffet car chakula na vinywaji kila aina vilikuwepo na watu walikuwa wakitembea huku na kule kwenye treni kwa furaha sana.

Tukiwa safarini ghafla nakutana na huyo singo maza akafurahi nami pia nilifurahi sana tukaongea na akanipeleka kwenye room yake na alikuwa na ndugu yake mwarabu fulani hivi ambae sikuwa namjua, maongezi njia nzima yalikuwa mazuri na nikawa napewa kila kitu wakati wa msosi ananiambia twende wote na akawa analipa kila kitu akaniuliza bia unakunywa nikamwambia ndio ila sio sana nikawa napewa bia but nilikuwa sizidishi bia 3.

Nami nikampeleka kwenye room niliyokuwepo na nilikuwa na mtu mmoja simkumbuki lakini alikuwa Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Safari ikawa inanoga sana na akaniuliza Yabora utalala wapi, maana treni hufika usiku, nikamjibu nitatafuta gesti, akaniambia usihangaike atatafuta yeye.

Nikasema ok. Basi maongezi yalinoga sana, tukafika Tabora siku ya pili yake mida ya saa 4 usiku na huyo mama alishaandaa teksi ikatuchukua kuelekea hoteli, hatukuenda muda mrefu, tukafika hoteli.

Nitaendeleza baadae kidogo..!
Hivi ni kweli wanawake wa Kiarab hawanyoi mavuzi na nywele za kwapani?
 
Back
Top Bottom