Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

Kwamba story yake toka akiwa tumboni
 
Watanzania shida ni moja ujuaji
 
Moto L7 2006 hiyo. Nilinunua Uhindini mbeya 230,000. Simu ilikuwa inabamba ile mbaya!
Kuna siku nilikoswa koswa kungongwa gari pale pile jamaa ndo kala kona junction ya mafiati anaitafuta st francis mimi niko zangu busy nakula good music kwa earphone ngoma ya Rihanna "pon-de-reply" nimepakua kwa internet kupitia waptrick...!
 
Kipindi hicho L7 unyama mwingi
 
umeulizwa mengine umejibu mengine.
 
Watu wanapigwa sana sema hawasemi wanaugulia moyoni.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Ila kuna watu mnaubongo mzito sana. Halafu hamjuagi kujificha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…