Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

Serikali ufuatiliaji ulikuwa haupo, kama shule za private miaka hiyo kulikuwa kuna kupigishwa simu vyooni(tundu la choo) kwa njuka, unadhani kwa serikalini ilikuwaje? Washukuru wamesoma kwenye kipindi ambacho haki za binadamu na sheria za shule zinazingatiwa! Ilikuwa ni bora ukutane na mwalimu kuliko kiranja kwa mlingano wa adhabu
 

Haters
 
Relax mkuu.
 
Airtel sijui walikuwa na jina gani aisee, kabla hawajatulia na jina lao hili walikuwa wanabadili badili majina ya brand zao kila mara. Mambo ya buzz ni bomba aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walokuwa wanabadili mara kwa mara ni tigo,, airtell waliitwa celtel[emoji1787]
 
Hongera kwa upambanaji,,,
 
shule nzima uliwezaje kuhakikisha Kila mwanafunzi Hana simu? Mtandao kwenye kijiji ilipo shule yenu ulikuwepo? Mimi Form one 2000 na nilikua na simu, simu zilikuwepo Ila chache sana
Kaa kimya. Sijasoma shule iliyopo kijijini. Kama ulikuwa na simu mwaka 2000 hilo ni suala lako binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…