Mcheza Viduku
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 1,111
- 2,754
Ilianza Tritel ndio ikaja Celtel kama sijakoseaAirtel enzi hizo ni celtel jamani hahahhahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilianza Tritel ndio ikaja Celtel kama sijakoseaAirtel enzi hizo ni celtel jamani hahahhahahaha
Huyo atakuwa ni wa miaka ya karibuni!!zamani miaka ya 90's kuna baadhi ya shule ile kumaliza tu form one ni sawa na kumaliza mafunzo ya ukomandoo!!wengi waliacha shule au kuhamia za day!!mimi jamaa alinifuma live nina weka sukari kwenye uji,akasema dogo usinitanie niwekee!!karibia kilo nzima yaani vijiko(60) vikubwa kwani lazima ulikuwa ujue ili bajeti yako iende vizuri!!alikuwa na kopo la KIMBO,limejaa uji niliweka hadi uji ukawa mweusi,jamaa linaonja linafoka dogo usinitaniee bado NASIKIA KWA MBALIIII"hadi nikaanza kulia,POPOTE ULIPO KALAMAZOO,Mungu akulaani.Serikali ufuatiliaji ulikuwa haupo, kama shule za private miaka hiyo kulikuwa kuna kupigishwa simu vyooni(tundu la choo) kwa njuka, unadhani kwa serikalini ilikuwaje? Washukuru wamesoma kwenye kipindi ambacho haki za binadamu na sheria za shule zinazingatiwa! Ilikuwa ni bora ukutane na mwalimu kuliko kiranja kwa mlingano wa adhabu
Nadhani ilikuwa ni Tritel kabla ya kuja kuwa CeltelAirtel sijui walikuwa na jina gani aisee, kabla hawajatulia na jina lao hili walikuwa wanabadili badili majina ya brand zao kila mara. Mambo ya buzz ni bomba aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wakatoa viduchu saizi ya kibiriti[emoji1787]Enzi hizo simu ni phillips
Unaifunga kiunoni kene mkanda [emoji1787][emoji1787]
Tritel haikudumu kabisa ,, chap wakaita celtel ndo wakasambaza sasa minara kwingi mnooNadhani ilikuwa ni Tritel kabla ya kuja kuwa Celtel
Asilaaniwe mana tayari anaumwa kisukari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo atakuwa ni wa miaka ya karibuni!!zamani miaka ya 90's kuna baadhi ya shule ile kumaliza tu form one ni sawa na kumaliza mafunzo ya ukomandoo!!wengi waliacha shule au kuhamia za day!!mimi jamaa alinifuma live nina weka sukari kwenye uji,akasema dogo usinitanie niwekee!!karibia kilo nzima yaani vijiko(60) vikubwa kwani lazima ulikuwa ujue ili bajeti yako iende vizuri!!alikuwa na kopo la KIMBO,limejaa uji niliweka hadi uji ukawa mweusi,jamaa linaonja linafoka dogo usinitaniee bado NASIKIA KWA MBALIIII"hadi nikaanza kulia,POPOTE ULIPO KALAMAZOO,Mungu akulaani.
Sio vocha,iliitwa dola (dollar 5)Enzi hizo.kijijini unawatumia vocha ya buku 5.
Then.wanaenda.kuiuza
Hakukuwa cha mpesa Wala tigo pesa
Hivi kuna benki inatoa mkopo kwa 0 interest kbsFatilia ulikuwaje mwisho wa mabenki makubwa yaliyojihusisha na riba!!
Lazima anguko likukute tu hata kama itachukua muda mrefu. Hayo mabenki yakikumbwa na economic recession utayaonea huruma.
Celtel,na yenyewe ilikuja kwa kuchelewa sana.Airtel sijui walikuwa na jina gani aisee, kabla hawajatulia na jina lao hili walikuwa wanabadili badili majina ya brand zao kila mara. Mambo ya buzz ni bomba aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata Tambaza ilikua ruksa kuwa na simuLabda sio Azania ,pugu na shule zinazofanana na hizo sisi simu ikiibwa hakuna ku report popote utajua namna ya kuitafuta,Kila mwanafunzi wa advance ruksa kuwa na simu,ikiita darasani teacher anachukua weka simu silence ,na o level waliokuwa hostel wanapitia mwanya huo kuwa na simu,hakuna kuhesabiwa,darasani kuingia ni hiari,pared wanahuhuria form six na form four wakiwa kwenye mitihani,Kila mwanafunzi utamkuta kwenye chimbo anapiga msuli(soma Kwa bidii),unapishana na teacher unaenda tution yeye anaingia shuleni ,Kuna wanafunzi wanakuja na magari wakitoka nyumbani haswa week end na wanayapaki karibu na gari la mkuu wa shule,naongelea 2000-2006
Pole sana ndugu. Sema wababe wengi wa shule ukikutana nao sasa hivi wamechoka balaa... kuna jamaa tukiwa form III alienda kwenye chemba akachota mle ndoo nzima na kwenda kumwagia mwenzake wakati amelala... yaani chini ya muda wa dakika moja bweni nzima walitoka nje kwa ile harufu kali. Alifukuzwa shule lakini hadi leo aliyemwagia mwenzake kinyesi ana maisha magumu sana... ni mtu ambaye kila analoshika halishikiki.Huyo atakuwa ni wa miaka ya karibuni!!zamani miaka ya 90's kuna baadhi ya shule ile kumaliza tu form one ni sawa na kumaliza mafunzo ya ukomandoo!!wengi waliacha shule au kuhamia za day!!mimi jamaa alinifuma live nina weka sukari kwenye uji,akasema dogo usinitanie niwekee!!karibia kilo nzima yaani vijiko(60) vikubwa kwani lazima ulikuwa ujue ili bajeti yako iende vizuri!!alikuwa na kopo la KIMBO,limejaa uji niliweka hadi uji ukawa mweusi,jamaa linaonja linafoka dogo usinitaniee bado NASIKIA KWA MBALIIII"hadi nikaanza kulia,POPOTE ULIPO KALAMAZOO,Mungu akulaani.
MkuuMzee utakuwa umesoma shule miongoni mwa hizi,
Kibiti
Ruvu
Kilosa
Machipi/ Ifakara
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mke wa Hance Mtanashati
mnapenda sana chai nyie
Mkuu umesoma shule za mtembei??Pesa inatengenezwa pale ambapo wengine hawawezi kudhani inawezekana.
Hivi unadhani kwa akili ya kawaida tu ile over invoice ya ATCL kwenye uhalisia wa kawaida unaweza kudhani mtu/watu anaweza/wanaweza kuyafanya yale??
Nimeona hoja yako hapo juu labda nisaidie kumjibia mleta uzi.
2. Hiyo miaka ya 2010 alivyokuwa anauza Ipad kama wali ulikuwa 1,000 tena chuoni, unashindwaje kuamini miaka 7 au 8 nyuma wali kuwa 200 kwenye canteen za shule za sekondari??
4. Mimi nimesoma Private School, tena hapahapa Dar yenye kila aina ya usimamizi na nidhamu. Lakini nilifanya biashara ya kuuza pipi (Ivory) na vyakula kama Sambusa na Chipsi kwa miaka mitatu kuanzia Form Two mpaka Form Four bila hata kushtukiwa. Ile shule ilikuwa ukiruka tu ukuta uingie mtaani wale wa mtaani iwe raia au hata walinzi wa shule wakikukamata na wakakupeleka shuleni wanalipwa laki moja cash (kwa kulisema hili nadhani waliosoma ile shule kama wapo hapa watakuwa wameijua) ila kwa mazingira hayohayo magumu mimi na biashara yangu ilisurvive kwa miaka mitatu na ilikuwa lazima hii mizigo ifuatwe nje na ije kuuzwa shuleni. Kuna mbinu nyingi sana nilikuwa natumia, nilinunua viongozi wa dormitories pamoja na maprefects ikiwemo Head Boy, nilijenga urafiki na Patrons ingawa hawakujua ninachofanya. Nilifanya hivyo makusudi ili wale spies directly wasiweze kuwa threat kwangu sababu walijua wakienda either kwa maprefects au Patrons kunichongea lazima habari zitanifikia. So kwa upande wa jamaa tena shule za serikali ambazo walimu wapo busy na mambo yao sidhani kama inashindikana jamaa alichokifanya.
Kitu kinachotenganisha utajiri na umaskini ni UTHUBUTU tu. Maskini wamekariri njia rahisi na salama kupata pesa ila matajiri ni tofauti. Maskini ni muoga, anaogopa kupoteza alichonacho, tajiri yeye plan yake anaangalia atachopata kwanza sio alichonacho mkononi.
Hadi leo mashule mengi na hata mitaani kuna sahani za wali na chipsi za 200...Umesema kipindi hicho ilikuwa sahani ya wali unanunua 200, so 5k ya kipindi hicho ni kama 50k ya sasa
Halafu unamkopesha mtu elfu 5 (50k ya sasa) wakawa wanakulipa 15k (150k ya sasa) na biashara ikawa kubwa?
Yaani hapa ndipo nilipoishia kusoma hii story, hii ni chai ambayo haina sukari,.😂😂😂 Hiyo biashara ungefilisika baada ya muhula mmoja tu
Naongea haya kwa sababu nina experience na biashara ya kukopesha pia
Ukikoesha watu hela tena kwa riba kubwa bila kuwa na dhamana inayoweza kuuzwa kirahisi hapo jiandikishie kufilisika
Haya mnaoamini hii ni kweli nitoleeni povu
🤣🤣🤣🤣Huyo atakuwa ni wa miaka ya karibuni!!zamani miaka ya 90's kuna baadhi ya shule ile kumaliza tu form one ni sawa na kumaliza mafunzo ya ukomandoo!!wengi waliacha shule au kuhamia za day!!mimi jamaa alinifuma live nina weka sukari kwenye uji,akasema dogo usinitanie niwekee!!karibia kilo nzima yaani vijiko(60) vikubwa kwani lazima ulikuwa ujue ili bajeti yako iende vizuri!!alikuwa na kopo la KIMBO,limejaa uji niliweka hadi uji ukawa mweusi,jamaa linaonja linafoka dogo usinitaniee bado NASIKIA KWA MBALIIII"hadi nikaanza kulia,POPOTE ULIPO KALAMAZOO,Mungu akulaani.
Mkuu ilikuwa hatari!!jamaa alichonifanyia kipindi kile sukari ya kutumia nusu mwezi mtu unamuwekea kwenye kopo moja tu,na bado anakwambia nasikia kwa mbali!!ule ulikuwa ni UGAIDI!!!🤣🤣🤣🤣
Mkuu ilikuwa hatari!!jamaa alichonifanyia kipindi kile sukari ya kutumia nusu mwezi mtu unamuwekea kwenye kopo moja tu,na bado anakwambia nasikia kwa mbali!!ule ulikuwa ni UGAIDI!!!
Shule ina kuwa kama kambi ya watalibani!!na ole wako ukashitaki jamaa atakuwa suspended lakini haliendi kwao linabakia kijijini hapo usiku linakuja linakuvunja mguu,au kiuno,ndio linaenda kwao!!!mzee mmoja alimleta mtoto wake akawa amefika jioni sana hivyo ikabidi apewe sehemu alale na mwanaye hadi kesho ndipo zoezi la kupokelewa lifanyike!!bnana usiku mtoto ,baba walitembezewa kichapo!!kesho mzee akaairisha kimuachq mtoto wake akaondoka naye akasema hii sio shule!!!eti Mungu anamakusudi yeke hili kutokea,kumbe "mwanangu alikuwa anaenda kufa"