Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

Huyo atakuwa ni wa miaka ya karibuni!!zamani miaka ya 90's kuna baadhi ya shule ile kumaliza tu form one ni sawa na kumaliza mafunzo ya ukomandoo!!wengi waliacha shule au kuhamia za day!!mimi jamaa alinifuma live nina weka sukari kwenye uji,akasema dogo usinitanie niwekee!!karibia kilo nzima yaani vijiko(60) vikubwa kwani lazima ulikuwa ujue ili bajeti yako iende vizuri!!alikuwa na kopo la KIMBO,limejaa uji niliweka hadi uji ukawa mweusi,jamaa linaonja linafoka dogo usinitaniee bado NASIKIA KWA MBALIIII"hadi nikaanza kulia,POPOTE ULIPO KALAMAZOO,Mungu akulaani.
 
Airtel sijui walikuwa na jina gani aisee, kabla hawajatulia na jina lao hili walikuwa wanabadili badili majina ya brand zao kila mara. Mambo ya buzz ni bomba aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani ilikuwa ni Tritel kabla ya kuja kuwa Celtel
 
Asilaaniwe mana tayari anaumwa kisukari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Fatilia ulikuwaje mwisho wa mabenki makubwa yaliyojihusisha na riba!!

Lazima anguko likukute tu hata kama itachukua muda mrefu. Hayo mabenki yakikumbwa na economic recession utayaonea huruma.
Hivi kuna benki inatoa mkopo kwa 0 interest kbs
 
Airtel sijui walikuwa na jina gani aisee, kabla hawajatulia na jina lao hili walikuwa wanabadili badili majina ya brand zao kila mara. Mambo ya buzz ni bomba aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Celtel,na yenyewe ilikuja kwa kuchelewa sana.
 
Hata Tambaza ilikua ruksa kuwa na simu
 
Pole sana ndugu. Sema wababe wengi wa shule ukikutana nao sasa hivi wamechoka balaa... kuna jamaa tukiwa form III alienda kwenye chemba akachota mle ndoo nzima na kwenda kumwagia mwenzake wakati amelala... yaani chini ya muda wa dakika moja bweni nzima walitoka nje kwa ile harufu kali. Alifukuzwa shule lakini hadi leo aliyemwagia mwenzake kinyesi ana maisha magumu sana... ni mtu ambaye kila analoshika halishikiki.
 
Hongera sana Mr mutuu kwa kushare experience yako katika kuutafuta ukwasi, i hope saivi mambo yako yako poa kwa kuwa unajua mbinu za kutafuta hela[emoji109]

Binafsi nimefanya sana Biashara ya kuuza na kuchaji simu na vocha Bwenini punde nilivoanza A-level.

Nilivofika chuo nilikua najulikana hadi vyuo vya jirani kwa sababu ya madili niliyokua nafanya; mpaka namaliza third year nilikua tayari nina pesa za kutosha zilizonisaidia kufungua duka langu mwenyewe la kuuza simu hapa Kariakoo japo namimi nilitapeliwa pesa ndefu kidogo na Rafiki yangu wa karibu sana ila namshukuru Mungu niliweza kusimama kidete[emoji120]

kuanzia huko A-Level mpaka Chuo nimesoma na wanafunzi baadhi ambao kwao kuna ukwasi wa kutosha mpaka unaweza kujihisi wewe ulizaliwa tu bahati mbaya.
Tatizo letu wabongo tunajifanya wajuaji sana mwisho wa siku unatugharimu hata kwenye maisha ya kawaida, unakuta mtu hana progress yoyote kwa sababu ya ubishi na ufinyu wake wa fikra kwa kuamini kila fursa ni scam au kitu fulani hakiwezekani.

Kila mtu ana experience yake ya maisha, ndio maana matajiri wengi ambao wametolea jasho pesa zao wana tabia tunayoiita "roho mbaya".

Mleta uzi usiyumbishwe na hawa akina Tomaso, shusha vitu wengine tupo kujifunza vitu especially apo kwenye kutapeliwa maana hao watu sio poa kila kukicha wanabuni mbinu mpya za kuingia nazo vitani
 
Mkuu umesoma shule za mtembei??
 
Hadi leo mashule mengi na hata mitaani kuna sahani za wali na chipsi za 200...
 
🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣
Mkuu ilikuwa hatari!!jamaa alichonifanyia kipindi kile sukari ya kutumia nusu mwezi mtu unamuwekea kwenye kopo moja tu,na bado anakwambia nasikia kwa mbali!!ule ulikuwa ni UGAIDI!!!
Shule ina kuwa kama kambi ya watalibani!!na ole wako ukashitaki jamaa atakuwa suspended lakini haliendi kwao linabakia kijijini hapo usiku linakuja linakuvunja mguu,au kiuno,ndio linaenda kwao!!!mzee mmoja alimleta mtoto wake akawa amefika jioni sana hivyo ikabidi apewe sehemu alale na mwanaye hadi kesho ndipo zoezi la kupokelewa lifanyike!!bnana usiku mtoto ,baba walitembezewa kichapo!!kesho mzee akaairisha kimuachq mtoto wake akaondoka naye akasema hii sio shule!!!eti Mungu anamakusudi yeke hili kutokea,kumbe "mwanangu alikuwa anaenda kufa"
 
Duh huyo jamaa alikuwa katili sana😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…