Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

Mleta uzi atakua kaalikwa somewhere anapiga vitu vya pasaka
 
Ilikuwa ni shule ya ufundi bila Shaka.
Nimepita hio shule 😀
 
Mkuu wewe unafanya biashara ya Dhahabu??
 
[emoji23] [emoji23]
 
mkuu Mimi nilikuwa tofaut kidogo, nilikuwa naiba magodoro ya bweni naenda kuwauzia mafundi sofa,
 

Nilizamisha mil 5 Mtwara nikajiona nimeliwa, kumbe kunao watu maumivu ni makubwa zaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…