Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

Shida ya Humu ndani JF baadhi ya members ni wabishi sana na Wajuaji.Kuna watu huleta vitu humu ndani ambavyo kimsingi vinabadilisha maisha ya watu,msipende kumkatisha tamaa mtu au kuleta ujuaji,Humu tupo Kujifunza zaidi kila siku.
Wawe wanaweka disclaimer kwamba hii stori ni ya kutunga haina uhalisia. Haiwezekani uwashe TV ukute mwanasiasa anakudanganya, uende insta ukute kina Diamond wanasema wameagiza jet baada ya hapo ujiambie ngoja nisikilize mambo ya dini ndo unamkuta Nabii uchwara anadai alikutana na Yesu LIVE.... JF nako stori ndo hizi. Hapana aisee tukatae kudanganywa tunapoona kuna harufu ya uongo.
 
Mlikuwa masikini Kama shule nzima mlikuwa hamna cm

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji107][emoji107]
 
Kusoma shule moja ndo ukajua shule zote Tanzania
 
200 ilkuwaa chai na mandazii matatu
 
Kukopesha hela kibiashara kwa watu ambao hawana dhamana, ni kujitakia kufilisika, tena dhamana yenyewe iwe inauzika kirahisi, take it from me, hapa sikuhadithii motivation story bali ni uhalisia wa street

biasharay yakukopesha watu bila dhamana ni afadhali ukacheze kamari
 
Labda atakuwa ame edit alisema sahani ya wali ilikuwa 200
 
Mamlaka kama hayo uwe unajipa nyumbani kwako boss
 
Yes au hujawahi kununua wali sh 200 mwanzoni mwa miaka ya 2000..? Au isije ikawa naongea ma mtoto uliyezaliwa mwaka 2000!
Tumekula wali kwa 100 pale Mvomero kwa Mama Ombopa. Nimekunywa na kuuza soda kwenye mnada wa Mkongeni kwa soda Tsh 50. Mama yangu alikuwa anachoma vitumbua nami nikawa namuuzia kwa Tsh 5 then ikaja Tsh 10 huyo ya wali kuuzwa 200 ni kitu cha kawaida tena huo ulikuwa wali nyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…