MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wawe wanaweka disclaimer kwamba hii stori ni ya kutunga haina uhalisia. Haiwezekani uwashe TV ukute mwanasiasa anakudanganya, uende insta ukute kina Diamond wanasema wameagiza jet baada ya hapo ujiambie ngoja nisikilize mambo ya dini ndo unamkuta Nabii uchwara anadai alikutana na Yesu LIVE.... JF nako stori ndo hizi. Hapana aisee tukatae kudanganywa tunapoona kuna harufu ya uongo.Shida ya Humu ndani JF baadhi ya members ni wabishi sana na Wajuaji.Kuna watu huleta vitu humu ndani ambavyo kimsingi vinabadilisha maisha ya watu,msipende kumkatisha tamaa mtu au kuleta ujuaji,Humu tupo Kujifunza zaidi kila siku.