Nilivyokuwa napika kitimoto na ndizi

Nilivyokuwa napika kitimoto na ndizi

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Jinsi nilivyokuwa napika kitimoto na ndizi. Kwanza mfahamu kuwa nilikuwa napika chakula kingi, siyo kama kile cha kwenye video.

Mahitaji.

Kitimoto kilo moja.
Ndizi mzuzu kumi, napendelea zile zinakaribia kuiva(zisiive sana).
Kitunguu kimoja kikubwa.
Nyanya kubwa nne.
Hoho moja kubwa
Pilipili ya tunda(Optional).

Namenya na kukatakata ndizi kwa saizi ya kati, ila zisiwe ndogo sana. Nazichemsha hadi zinaiva kidogo. Ndizi zikiiva natenga nyama ya kitimoto niliyokatakata motoni kuichemsha kwa maji. Naweza kuweka pilipili ya tunda ila siipasui. Kitimoto kikishaiva bado kinakuwa na supu ya kutosha. Hapo natoa ndizi na kuziweka ndani ya sufuria ya kitimoto.

Juu yake naweka Nyanya, hoho na vitunguu nilivyokatakata. Nakoroga, nafunika na kupunguza moto. Baada kama ya robo saa mambo yanakuwa tayari.

Siweki mafuta sababu supu ya ktmt tayari ina mafuta mengi. Halafu nafikiri vitunguu vya kushemshia vinafanya chakula kuwa na ladha kuliko vya kukaanga.

Hapo napakua msosi mwingi sana kwenye sahani. Nikimaliza naongeza kidogo. Moja ya chakula bora kabisa kwangu, mchuzi mzito kabisa.
 
Aloo kitimoto ana wese siyo poa. Kwa huo mpiko wako inatakiwa uwe mtu wa zoezi sana ili kuyeyusha wese lake!
 
Mdudu point ,naona waanzilishi wa mapishi wamekimbia ,leteni maujuzi wadau
 
Kak unakosea sna kula kitimoto iliyo chemshwa kumbuka kuwa ngurwe wengi wnakuwa na minyoo inyosabaisha kifafa

Sas wee nakushauri siku nyingine mnk hata mm napenda kitimoto ila Kama ujachemsha vzr na kuangaa kwenye mafuta ndio inavyopazwa kuwa usipende kula kitimoto iliyochemshwa siyo vxr kwa afya yako mkuu .inakubid uwe unachemsha na kukaanga ndipo upike upike au kutumia hvyo hvyo vingenvyo una mnyooo mkali Sana wew
 
Jinsi nilivyokuwa napika kitimoto na ndizi. Kwanza mfahamu kuwa nilikuwa napika chakula kingi, siyo kama kile cha kwenye video.

Mahitaji.

Kitimoto kilo moja.
Ndizi mzuzu kumi, napendelea zile zinakaribia kuiva(zisiive sana).
Kitunguu kimoja kikubwa.
Nyanya kubwa nne.
Hoho moja kubwa
Pilipili ya tunda(Optional).

Namenya na kukatakata ndizi kwa saizi ya kati, ila zisiwe ndogo sana. Nazichemsha hadi zinaiva kidogo. Ndizi zikiiva natenga nyama ya kitimoto niliyokatakata motoni kuichemsha kwa maji. Naweza kuweka pilipili ya tunda ila siipasui. Kitimoto kikishaiva bado kinakuwa na supu ya kutosha. Hapo natoa ndizi na kuziweka ndani ya sufuria ya kitimoto.

Juu yake naweka Nyanya, hoho na vitunguu nilivyokatakata. Nakoroga, nafunika na kupunguza moto. Baada kama ya robo saa mambo yanakuwa tayari.

Siweki mafuta sababu supu ya ktmt tayari ina mafuta mengi. Halafu nafikiri vitunguu vya kushemshia vinafanya chakula kuwa na ladha kuliko vya kukaanga.

Hapo napakua msosi mwingi sana kwenye sahani. Nikimaliza naongeza kidogo. Moja ya chakula bora kabisa kwangu, mchuzi mzito kabisa.
Kuna kiti moto cha kuchoma pale Joy Es Slava Goba ni balaa sijui wanatumia recipe gani, Ukila lazima urudi tena.
 
Jinsi nilivyokuwa napika kitimoto na ndizi. Kwanza mfahamu kuwa nilikuwa napika chakula kingi, siyo kama kile cha kwenye video.

Mahitaji.

Kitimoto kilo moja.
Ndizi mzuzu kumi, napendelea zile zinakaribia kuiva(zisiive sana).
Kitunguu kimoja kikubwa.
Nyanya kubwa nne.
Hoho moja kubwa
Pilipili ya tunda(Optional).

Namenya na kukatakata ndizi kwa saizi ya kati, ila zisiwe ndogo sana. Nazichemsha hadi zinaiva kidogo. Ndizi zikiiva natenga nyama ya kitimoto niliyokatakata motoni kuichemsha kwa maji. Naweza kuweka pilipili ya tunda ila siipasui. Kitimoto kikishaiva bado kinakuwa na supu ya kutosha. Hapo natoa ndizi na kuziweka ndani ya sufuria ya kitimoto.

Juu yake naweka Nyanya, hoho na vitunguu nilivyokatakata. Nakoroga, nafunika na kupunguza moto. Baada kama ya robo saa mambo yanakuwa tayari.

Siweki mafuta sababu supu ya ktmt tayari ina mafuta mengi. Halafu nafikiri vitunguu vya kushemshia vinafanya chakula kuwa na ladha kuliko vya kukaanga.

Hapo napakua msosi mwingi sana kwenye sahani. Nikimaliza naongeza kidogo. Moja ya chakula bora kabisa kwangu, mchuzi mzito kabisa.
Huna hata picha? Inshallah Sikukuu jumanne wacha tujipange.
 
Kak unakosea sna kula kitimoto iliyo chemshwa kumbuka kuwa ngurwe wengi wnakuwa na minyoo inyosabaisha kifafa

Sas wee nakushauri siku nyingine mnk hata mm napenda kitimoto ila Kama ujachemsha vzr na kuangaa kwenye mafuta ndio inavyopazwa kuwa usipende kula kitimoto iliyochemshwa siyo vxr kwa afya yako mkuu .inakubid uwe unachemsha na kukaanga ndipo upike upike au kutumia hvyo hvyo vingenvyo una mnyooo mkali Sana wew
Huyo mnyoo anaekaa kwenye moto wa kuchemshwa mpka kuiva yy yupo tu na kupikwa tena yy yupo tu labda kama anapikia barafu kwamba sio moto huu niujuao na sio nguruwe wote wana minyoo hiyo huo ni ugonjwa ambao kama wametunzwa wanadawa vizur huwez kuta hizo mambo ila ukimkuta mgonjwa aloo nyama hutaitamani

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom