Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

mimi bado naandaa kitabu cha harakati zangu..kutokea Dsm-Mogadishu-Yemen-Iran-Dsm-kahama-Geita-Mwanza-kakola-tarime-Dsm-Mafia- Dsm-kampala-Nairobi-kigali-Namibia-Lusaka-Nampula-Pemba-Beira-Maputo- Durban-Pretoria-Joberg- Iran-Kandahar-Peshawar-Kabul-Khost-Uzbegistan-Chechniya-Yemen-Moscow-Madagascar-Capeverde-France-Gabon-Burkinafaso-Namibia - capeverde-grenada-france-Swiss - Namibia -Dsm..

Hakikisha kila unapofika unaacha mbegu sio mnakuwa wavivu wavivu...
 
Duuuh.
 
hiii ni mbupu
 
Kote huko umepita na kuacha mbegu? Ukiwakusanya wote si unaanzisha shule
 
Wewe ni nguruwe gaidi kizazi cha fisi, ukoo Ngiri, familia ya fungo wala dubu kabare mkubwa wewe
Andika stori yako maku wewe sio unaanza kukosoa watu hapa

Kakuambia yeye ana kazi ya kuandika muda wote hapa jf? Ili watu werevu na wengine walio wajinga kama wewe wasome? Ana kazi ya kufanya na ili aandike vyema ujifunze ujinga ukutoke lazima atumie muda ili kua na mtiririko wa mawazo vizuri

Bata wewe
 
Hili tunaweza kusaidiana kujibu,barabara Tanzania bado sana tena sana,hii T1 yetu ni bado sana,Zambia wanajitahidi sana hasa barabara ya Lusaka to Livingstone,ya kwenda Chilindu sio mbaya sana ILA kuna tatizo kubwa mno btn Nakonde na Mpika ni shida sana(hii kwangu ni sabotage wanayotufanyia wazambia maana wameelekeza nguvu nyingi kusini but pure kibiashara)Chilundu hadi Beitbrige wanaifanyia ukarabati na nzuri in general,na N1 ya kutoka Beitbrige hadi cape town ni first class road ni super,na ukija Botswana nao ni super kuanzia ile A3 hadi A1,border ya zambia na Namibia sio safi hasa Zambia side ila upande wa pili ni super.Tanzania tuache siasa ni vema hii T1 yetu tuitengeneze ili tuchukue even 40%ya mizigo ya DRC(hii ndio future ya kibiashara Africa)
Nini maana ya T1 Mkuu?
 
Kalikuwa katundu halafu tulikuwa tumekunywa kidogo, asubuhi nikapigwa mabusu motomoto

Yale mabegi kumbe huwa yanawaachia alama nyekundu mabegani na mgongoni nilimchua kidogo
Kajinga wewe!😁😁😁😁😂😂
 
Mleta habari wetu,mie napenda kujua ikiwa Ahmed ana dada kaolewa na tajiri mkubwa huko south Africa!!! Ukimuuliza kwa nn hakupanda ndege kumuwahi dada kwwnda kupanda ndege ya kwenda huko ulipopataja samahani lakini Kama nitakuwa nimekuudhi ni swali la uelewa tu
 
SEHEMU YA TISA

Kwa ambao hawajafika South Afrika, Umbali kutoka Pretoria mpaka Joberg ni Kama Dakika 45 tu, Lakini Umbali kutoka Pretoria mpaka Capetown ni Masaa 24. Ni Mbali ndo mana Ahamad na Dada yake walitumia ndege.

Sikukaa sana pale kwa Vailet, Vailet aliniambia twende Mitaa wanayokaa Wabongo nikutafutie sehemu ya kuishi.

Kumbuka mpaka nafika hapo Pretoria nimesafiri siku 4, nimechoka sana. Sijawai kusafiri Umbali mrefu hivyo. Halafu mpaka muda huo nipo barabarani nazurura tu na Begi langu mgongoni.

Wakuu hapa ilipofika story yetu, kutokana na Harakati za Maisha na Biashara ambazo nilikuta watu wanafanya ambazo nitazieleza huko mbele, naomba sitotaja watu majina yao ya ukweli.Tukafika mpaka Mitaa fulani kuna Saloon nyingi, Vailet akamuita jamaa mmoja tumpe jina X, Nakumbuka akamwambia "X huyu jamaa ndo ameshuka hapa muda huu, naomba mtafutie sehemu ya kulala" alisema hivyo, wakapiga story kidogo halafu Vailet akasepa. Nikawa chini ya Mikono ya mtu mwengine.

Basi pale X akaanza wenyewe wanasema "Kunichukua Maelezo". Akaanza kuniuliza Dar natokea sehemu gan na maswali mengine mengi. Nikamjibu yote. Nilivyotaja sehemu niliyotokea hapa Dar kuwa ni Temeke, X akasema kuna watu kutoka Temeke kibao wako hapa. Ngoja nimpigie simu Jamaa mmoja wa Temeke akufate tena ndo utaishi kwake.

Alimpigia simu huyo jamaa, Jamaa akasema atanifuata. Mpaka inafika saa mbili usiku X anafunga Saloon yake huyo Jamaa bado alikuwa hajafika. X akafunga akasepa, akaniambia "Msubiri jamaa usiwe na wasiwasi atakuja tu" Nilipigwa na Baridi kwenye nchi ya watu mpaka Saa Sita usiku jamaa bado hajafika. Kumbuka hapo nimechoka ile mbaya. Inaingia siku ya Tano bila kulala Vizuri. Nina Usingizi Kinoma.
 
Hili tunaweza kusaidiana kujibu,barabara Tanzania bado sana tena sana,hii T1 yetu ni bado sana,Zambia wanajitahidi sana hasa barabara ya Lusaka to Livingstone,ya kwenda Chilindu sio mbaya sana ILA kuna tatizo kubwa mno btn Nakonde na Mpika ni shida sana(hii kwangu ni sabotage wanayotufanyia wazambia maana wameelekeza nguvu nyingi kusini but pure kibiashara)Chilundu hadi Beitbrige wanaifanyia ukarabati na nzuri in general,na N1 ya kutoka Beitbrige hadi cape town ni first class road ni super,na ukija Botswana nao ni super kuanzia ile A3 hadi A1,border ya zambia na Namibia sio safi hasa Zambia side ila upande wa pili ni super.Tanzania tuache siasa ni vema hii T1 yetu tuitengeneze ili tuchukue even 40%ya mizigo ya DRC(hii ndio future ya kibiashara Africa)
Upo Sawa kabisa!

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu upo sawa Kabisa.
 
Back
Top Bottom