Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Kwa hiyo Lesotho Keagan Paul alikuwa anaingia au anatoka?

Si alitoka SA akawa anaingia Lesotho ndio mkaanza kumbishia?

Unajua story ilipoishia au ulikuwa unabisha tu kutafuta kiki?
 
Kwa hiyo Lesotho Keagan Paul alikuwa anaingia au anatoka?

Si alitoka SA akawa anaingia Lesotho ndio mkaanza kumbishia?

Unajua story ilipoishia au ulikuwa unabisha tu kutafuta kiki?
Sasa wewe naona unataka kubishana, binafsi siwezi kubishana. So acha tuishie hapa mkuu.
 
Huu utamaduni uko border nyingi Sana hapa Africa. Makonda wa Mabus wanajuana na watu wa immigration anatangaza mapema Kama huna passport au passport yako inashida we sema mapema, unampa hela na passport yako kila kitu kinaenda sawa.

Ila ukijifanya mjuaji kuongea na immigration mwenyewe unaweza ombwa dau kubwa au wakutie ndani iwe mwisho wa Safari.

Airport tu ndo naona wanakuwaga strict sio Wala rushwa Ile ya kuonekana. Ukiover stay Sheria ziko wazi wanakukazia.
 
Achen mfumo dume pimbi nyie,kwahyo hampend kuona wadada wanacomment,nyau nyie.

Afu,ebu jiulize inawezekana vp uzi mzima ziwe post za keagan peke yake,.......anapata nguvu za kuandka anapoona wafuatiliaji n wengi,kama unataka usome story yote kwa wakat mmoja nunua ktabu,pimbi wew
 
Mkuu Immigration officers wa hizi border zetu hapa Africa njaa Kali. Border kila kitu is possible si Kama airport, sishangai aliweza kuingia japokuwa alioverstay.
 
Duh dunia ina mambo...khaa
 
Watu mnalalamika uzi umeishia njian kama vile hamjui nini kimesababisha jamaa asiendelee moja ya sababu kubwa Uzi kuvamiwa na watu wanaojidai kuwa wamekaa sauz na kuanza kukosoa neno kwa neno wakat wanajua wenyew walienda kusoma yy alienda bila kuwa na connection yoyote UJUAJI ili sijui waonekane wanajua sana hii dunia 2 madangaji yaliingia humu na wateja wakapatikana lingine linauza matako UZI ukawa umekufa
 
Mm nilikua na swali ivi ungekaa kimya tu ungepungukiwa nn na maswal yako ya hovyo au watu wasingejua kwamba umefika south? Mbona watu kibao humu wamefika huko lakn walipiga kimya lakn ww mwamba maswal kibao ambayo hayana kichwa wala miguu binafsi ki ukwel umeniboa sana
 

Huu utaratibu wa kukaa kimya huku kuna kitu hakiko sawa ndo umetufikisha hapa kama taifa.

Yeyote ana haki ya kuuliza kama kuna kitu hajakielewa, na fanani au mtoa habari ana jukumu la kufafanua.

Kama una uhakika kwamba unachosimulia ni ukweli hutakiwi kuwa na wasiwasi juu ya maswali.
 
Kwahy ww ulifrah wacoment kwa kusema wana makalio makubwa wateja waende PM kumbe hata ww pimbi pia maswala ya matako na huu Uzi wap na wap?
 
Yy kweny Uzi wake alikua anasusa na kutishia kutokuendelea na story kwann kweny nyuz ya mwenzie awe mjuaji
 
Mkuu watu wengine hutakiwi hata kuwajibu. Comment yake tu inaonyesha kichwani kwakwe kukoje, so ukishaona mtu wa namna hiyo unaachana naye tu. Utapoteza muda wako bure.
 
Mkuu watu wengine hutakiwi hata kuwajibu. Comment yake tu inaonyesha kichwani kwakwe kukoje, so ukishaona mtu wa namna hiyo unaachana naye tu. Utapoteza muda wako bure.

Unajua hizi tabia ziko sana hata huku nje, unakuta mtu ana present kitu either idea ya project au chochote, ukianza kuomba ufafanuzi unaambiwa wewe ni mbishi, much know or so.

Badala ya ku-address doubts unakuta mtu anaishia kukupa majina mabaya.
 

Mkuu nimekaa Johnannesburg mwaka mzima bila permit wala ni bibi yake na permit hadi nilipoamua kusepa mwenyewe mwaka 2017,pia kuna rafiki yangu anagonga mwaka wa 8 huu tangia zile passport zetu pendwa za buku 50 kuisha muda hadi leo hajatia maguu bongo!,Mozambique nimetulia miaka 3 bila karatasi yeyote,zambia nimetulia miezi 8 ila kidogo ninyee debe!,nimezururua nchi nyingi za shilole country najua namna ya kuishi bila document yeyote
 
ulikuwa unafanyanye mtaalam? plz tupe hints
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…