Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Mkuu nilitaka nisikujibu ila nimeona nikikaa kimya watu wanaweza kuamini hiki ulichokiongea. Humu bhana hatujuani, hata wewe hunijui ila umeongea kama unanijua. Kama hatujuani huo wivu unaouongelea wa nini? Pili niwie radhi kukuambia kuwa kuna vitu huvijui na ni bora ukakaa kimya kuliko kujiaibisha. Kuhusu kuoverstay na kugongewa exit nina uhakika kuna kitu umekificha na kama hujakificha basi huyo dereva alikuficha. Ukiover stay halafu ukawa unarudi kwenu immigration officer hawawezi kukuzuia kurudi kwenu japo wakikufanyia roho mbaya wanaweza kukukamata na kukufungulia mashitaka ila kwa sababu ulitoa rushwa ya rand 300 wanaweza kukuruhusu uondoke nchini mwao ila huwezi kukanyaga nchini kwao ndani ya miaka 5 kama hutalipa hiyo fine ya kuover stay. Ndio maana nimekuambia kuna kitu hujakiongea kuhusu kuoverstay au huyo konda wa basi hakukuambia. Ukioverstay ukiwa unarudi kwenu in most cases watakuruhusu upite ila utapigwa fine ambayo utaambiwa either uilipe hapo hapo au ukailipie ubalozini kwao nchini mwako. Usipoilipa huwezi kurudi tena nchini kwao kwa muda wa miaka 5 labda ubadirishe passport, na sasa hivi hata ukibadirisha passport ni kazi bure maana finger print zako zitasoma kwenye system yao. Kuna mengi ningekueleza ila acha niishie hapa.
Kwa hiyo Lesotho Keagan Paul alikuwa anaingia au anatoka?

Si alitoka SA akawa anaingia Lesotho ndio mkaanza kumbishia?

Unajua story ilipoishia au ulikuwa unabisha tu kutafuta kiki?
 
Kwa hiyo Lesotho Keagan Paul alikuwa anaingia au anatoka?

Si alitoka SA akawa anaingia Lesotho ndio mkaanza kumbishia?

Unajua story ilipoishia au ulikuwa unabisha tu kutafuta kiki?
Sasa wewe naona unataka kubishana, binafsi siwezi kubishana. So acha tuishie hapa mkuu.
 
Konda Msafi ana wivu sana. Ameona huu uzi unamfunika kwenye ule uzi wake wa Khumbu anaanza majungu, mara amuulize jamaa maswali yasiyo na kichwa wala miguu.

Mfano, eti ukioverstay South Africa huwezi kupita kwenda Lesotho hata kwa rushwa...kkkk, rushwa (kitu kidogo) ipo kila mahali.

Kuna mwaka nilikuwa natoka SA na basi la Shalom kwenda Lusaka ili niunganishe kuja Nakonde/Tunduma, Kondakta wa basi anatangaza kabisa kama passport yako ina shida (umezidisha siku za kukaa SA)nione, anazikusanya hizo passport na Rand 300 kila moja anaenda kuwagongea nyie mnasubiri kwenye basi. Tena ilikuwa December kipindi kibaya Home Affairs wote huwa wanaweka kambi hapo Beit Bridge.

Rushwa ipo Afrika nzima.
Huu utamaduni uko border nyingi Sana hapa Africa. Makonda wa Mabus wanajuana na watu wa immigration anatangaza mapema Kama huna passport au passport yako inashida we sema mapema, unampa hela na passport yako kila kitu kinaenda sawa.

Ila ukijifanya mjuaji kuongea na immigration mwenyewe unaweza ombwa dau kubwa au wakutie ndani iwe mwisho wa Safari.

Airport tu ndo naona wanakuwaga strict sio Wala rushwa Ile ya kuonekana. Ukiover stay Sheria ziko wazi wanakukazia.
 
Historia inaonyesha wazi kuwa kila Uzi unaovutia na ukawa unatembea kwa Kasi basi huwa Kuna ka kikundi Cha Malaya maarufu humu JF wanafahamika kwa qanaume wanaowajua wanawake ndo Mana huwa sio shida kuzijua code za Malaya humu wanakuset nawe unajileta kwama chatu na mbwa.

Na Hawa wauzaji wa jf ndo wanakwamisha nyuzi nyingi hasa zinazoenda fasta zisimaliziwe Anza na ule ulishawahi kukutana na nguvu za Giza njoo ule wa yule jamaa aliekuwa anahadithia mauaji ya kimbari funga kazi n Uzi wa parabora na stori ya maisha ya Geneva swiz na ule uliokuja kumuumbua
Achen mfumo dume pimbi nyie,kwahyo hampend kuona wadada wanacomment,nyau nyie.

Afu,ebu jiulize inawezekana vp uzi mzima ziwe post za keagan peke yake,.......anapata nguvu za kuandka anapoona wafuatiliaji n wengi,kama unataka usome story yote kwa wakat mmoja nunua ktabu,pimbi wew
 
Mkuu nilitaka nisikujibu ila nimeona nikikaa kimya watu wanaweza kuamini hiki ulichokiongea. Humu bhana hatujuani, hata wewe hunijui ila umeongea kama unanijua. Kama hatujuani huo wivu unaouongelea wa nini? Pili niwie radhi kukuambia kuwa kuna vitu huvijui na ni bora ukakaa kimya kuliko kujiaibisha. Kuhusu kuoverstay na kugongewa exit nina uhakika kuna kitu umekificha na kama hujakificha basi huyo kondakita alikuficha. Ukiover stay halafu ukawa unarudi kwenu immigration officer hawawezi kukuzuia kurudi kwenu japo wakikufanyia roho mbaya wanaweza kukukamata na kukufungulia mashitaka ila kwa sababu ulitoa rushwa ya rand 300 wanaweza kukuruhusu uondoke nchini mwao ila huwezi kukanyaga nchini kwao ndani ya miaka 5 kama hutalipa hiyo fine ya kuover stay. Ndio maana nimekuambia kuna kitu hujakiongea kuhusu kuoverstay au huyo konda wa basi hakukuambia. Ukioverstay ukiwa unarudi kwenu in most cases watakuruhusu upite ila utapigwa fine ambayo utaambiwa either uilipe hapo hapo au ukailipie ubalozini kwao nchini mwako. Usipoilipa huwezi kurudi tena nchini kwao kwa muda wa miaka 5 labda ubadirishe passport, na sasa hivi hata ukibadirisha passport ni kazi bure maana finger print zako zitasoma kwenye system yao. Kuna mengi ningekueleza ila acha niishie hapa.
Mkuu Immigration officers wa hizi border zetu hapa Africa njaa Kali. Border kila kitu is possible si Kama airport, sishangai aliweza kuingia japokuwa alioverstay.
 
Nakumbuka mwaka 2007 nilikua na ndoto za kwenda dzonga ila sikua na mpunga, kuna jamaa yangu alikua amerudi toka lebanon huko alikua deployed kwenye peace keeping alikua amerudi bongo na fedha za kigeni nikaona kupitia huyu mwamba nitapata nauli nitambae zangu ng'ambo.
Nikawa chawa wa mwamba full kumsaidia kusolve harakati za hapa na pale kutokana na uzoefu wangu wa mtaa
Sasa bhana mwamba alikua na binti mmoja wa kitanga ndio alikua anataka amfanye mkewe ili dingi yake ni mnoko kikuda mchumba ndio alituambia kipindi mwamba anampa idea ya kwenda bumbuli kujitambulisha ,mimi kama chawa nisie na maadili nikamshauri mwamba ampe binti ujauzito ndio tuende ili zoezi liwe rahisi mwana apate jiko na mimi niende zangu ng'ambo.
Mwamba akafanikiwa kurutubisha yai binti kitumbo kikaota ikapangwa safari ya kwenda usambaani kuonana na wazee.
Kufika Tanga tukapokelewa fresh na bimkubwa, na mashemeji kumbe kamanda walikua wanamjua wote kasoro mshua boy tu, na bahati mbaya au nzuri hakuwepo siku hio ikabidi mzee apigiwe simu alikua shambani kwake huko anakaaga hata mwezi bila kurudi home. Alitaarifiwa uwepo wetu akaombwa arudi fasta mzee akaomba aongee na muoaji, mshkaji akatoka nje kuongea na mkwewe, mzee akamwambia jamaa anarudi kesho jioni lakini asitukute nyumbani kwake na hataki kabisa kutusikia, mshkaji kwa tabia zake za kijeshi akamkazia mzee na mikwara ya hapa na pale kwamba hatuondoki tutakaa hata mwezi mpaka arudi tuondoke na mke wetu. Mshua akasema kesho jioni anarudi lakini hatotukuta maana tutaondoka bila kuaga kamanda akasema sawa ngoja tuoneshane umwamba.
Ilifika usiku tukapewa room ya wageni kuna bed mbili kila mtu na lake, tukaangusha na mwanangu ,tulienda na begi moja tu , mchumba aliliweka chumbani kwake kwa usalama zaidi maana chumba chetu kilikua nje,
Kufika mishale ya saa nane usiku niliota ndoto kwamba yule mzee kaihamishia mimba kwa mjeshi halafu tuko leba kamanda anajifungua, mimi na manesi tunamwambia mchizi push! push! Jamaa anapiga kelele kumbe mimi nivyoota hivyo napiga kelele kwanguvu na jamaa naye anaota ndoto hiohio na anapiga kelele za uchungu mara tukashtuka wote mshkaji ananiuliza mtoto wangu yuko wapi nikamjibu kua makini usimlalie kuinuka dah! Mwamba alikua kashusha bonge la kimba mazee halafu hawezi kulikataa yaani kafanana nalo copyright alafu mashuka yote kitanda kizima kilikua makimba tu , nikampa mashuka ya kitandani kwangu ajisafishe tutoroke kabla hakuja kucha maana asingeweza kubadili nguo zilikua chumbani na mama kijacho mjeshi akaniambia kukimbia ni mbinu ya kijesh kabisa wao wanaiita ku retreat.
Tulitoka chumbani mule kwa kucraw mpaka kwenye toyota porte yetu huku mchizi akiwa kajifunga shuka rubega tukatokomea
Tukiwa njiani mwamba ndio akakumbuka conversation yake na mkwe wetu kwamba tutaondoka bila kuaga kama PAUL KEAGAN
Tulifaka town hata mawazo ya kumpiga mzinga wa nauli ya kaisha maana analia tu kama kabinti muda wote
Duh dunia ina mambo...khaa
 
Watu mnalalamika uzi umeishia njian kama vile hamjui nini kimesababisha jamaa asiendelee moja ya sababu kubwa Uzi kuvamiwa na watu wanaojidai kuwa wamekaa sauz na kuanza kukosoa neno kwa neno wakat wanajua wenyew walienda kusoma yy alienda bila kuwa na connection yoyote UJUAJI ili sijui waonekane wanajua sana hii dunia 2 madangaji yaliingia humu na wateja wakapatikana lingine linauza matako UZI ukawa umekufa
 
Mkuu nilitaka nisikujibu ila nimeona nikikaa kimya watu wanaweza kuamini hiki ulichokiongea. Humu bhana hatujuani, hata wewe hunijui ila umeongea kama unanijua. Kama hatujuani huo wivu unaouongelea wa nini? Pili niwie radhi kukuambia kuwa kuna vitu huvijui na ni bora ukakaa kimya kuliko kujiaibisha. Kuhusu kuoverstay na kugongewa exit nina uhakika kuna kitu umekificha na kama hujakificha basi huyo kondakita alikuficha. Ukiover stay halafu ukawa unarudi kwenu immigration officer hawawezi kukuzuia kurudi kwenu japo wakikufanyia roho mbaya wanaweza kukukamata na kukufungulia mashitaka ila kwa sababu ulitoa rushwa ya rand 300 wanaweza kukuruhusu uondoke nchini mwao ila huwezi kukanyaga nchini kwao ndani ya miaka 5 kama hutalipa hiyo fine ya kuover stay. Ndio maana nimekuambia kuna kitu hujakiongea kuhusu kuoverstay au huyo konda wa basi hakukuambia. Ukioverstay ukiwa unarudi kwenu in most cases watakuruhusu upite ila utapigwa fine ambayo utaambiwa either uilipe hapo hapo au ukailipie ubalozini kwao nchini mwako. Usipoilipa huwezi kurudi tena nchini kwao kwa muda wa miaka 5 labda ubadirishe passport, na sasa hivi hata ukibadirisha passport ni kazi bure maana finger print zako zitasoma kwenye system yao. Kuna mengi ningekueleza ila acha niishie hapa.
Mm nilikua na swali ivi ungekaa kimya tu ungepungukiwa nn na maswal yako ya hovyo au watu wasingejua kwamba umefika south? Mbona watu kibao humu wamefika huko lakn walipiga kimya lakn ww mwamba maswal kibao ambayo hayana kichwa wala miguu binafsi ki ukwel umeniboa sana
 
Huu utaratibu wa kukaa kimya huku kuna kitu hakiko sawa ndo umetufikisha hapa kama taifa.

Yeyote ana haki ya kuuliza kama kuna kitu hajakielewa, na fanani au mtoa habari ana jukumu la kufafanua.

Kama una uhakika kwamba unachosimulia ni ukweli hutakiwi kuwa na wasiwasi juu ya maswali.
 
Achen mfumo dume pimbi nyie,kwahyo hampend kuona wadada wanacomment,nyau nyie.

Afu,ebu jiulize inawezekana vp uzi mzima ziwe post za keagan peke yake,.......anapata nguvu za kuandka anapoona wafuatiliaji n wengi,kama unataka usome story yote kwa wakat mmoja nunua ktabu,pimbi wew
Kwahy ww ulifrah wacoment kwa kusema wana makalio makubwa wateja waende PM kumbe hata ww pimbi pia maswala ya matako na huu Uzi wap na wap?
 
Huu utaratibu wa kukaa kimya huku kuna kitu hakiko sawa ndo umetufikisha hapa kama taifa.

Yeyote ana haki ya kuuliza kama kuna kitu hajakielewa, na fanani au mtoa habari ana jukumu la kufafanua.

Kama una uhakika kwamba unachosimulia ni ukweli hutakiwi kuwa na wasiwasi juu ya maswali.
Yy kweny Uzi wake alikua anasusa na kutishia kutokuendelea na story kwann kweny nyuz ya mwenzie awe mjuaji
 
Huu utaratibu wa kukaa kimya huku kuna kitu hakiko sawa ndo umetufikisha hapa kama taifa.

Yeyote ana haki ya kuuliza kama kuna kitu hajakielewa, na fanani au mtoa habari ana jukumu la kufafanua.

Kama una uhakika kwamba unachosimulia ni ukweli hutakiwi kuwa na wasiwasi juu ya maswali.
Mkuu watu wengine hutakiwi hata kuwajibu. Comment yake tu inaonyesha kichwani kwakwe kukoje, so ukishaona mtu wa namna hiyo unaachana naye tu. Utapoteza muda wako bure.
 
Mkuu watu wengine hutakiwi hata kuwajibu. Comment yake tu inaonyesha kichwani kwakwe kukoje, so ukishaona mtu wa namna hiyo unaachana naye tu. Utapoteza muda wako bure.

Unajua hizi tabia ziko sana hata huku nje, unakuta mtu ana present kitu either idea ya project au chochote, ukianza kuomba ufafanuzi unaambiwa wewe ni mbishi, much know or so.

Badala ya ku-address doubts unakuta mtu anaishia kukupa majina mabaya.
 
Tena kwa Gauteng bila permit huwezi kulast hata mwezi bila kudakwa labda uwe unashinda ndani. Miji mingine unaweza kuishi bila permit ila Johannesburg never. Kuna wabongo flani walikuwa wanauza matunda pale MTN tax rank, downtown Joburg, kila nikipita maeneo hayo lazima nipige nao stori mbili tatu. Enzi hizo nilikuwa bado nipo high school, walikuwa wana permit hizi za ukimbizi, lakini pamoja na kuwa na permit bado wazee walikuwa wanazichana chana hizo permit zao na kuwakamata na kuwapeleka Lindela, so kila nilipokuwa nikienda kuwasalimia walikuwa wananiambia flani kakamatwa, flani kakamatwa. Unaweza kuona jinsi kulivyo kugumu kuishi bila permit Johannesburg.

Mkuu nimekaa Johnannesburg mwaka mzima bila permit wala ni bibi yake na permit hadi nilipoamua kusepa mwenyewe mwaka 2017,pia kuna rafiki yangu anagonga mwaka wa 8 huu tangia zile passport zetu pendwa za buku 50 kuisha muda hadi leo hajatia maguu bongo!,Mozambique nimetulia miaka 3 bila karatasi yeyote,zambia nimetulia miezi 8 ila kidogo ninyee debe!,nimezururua nchi nyingi za shilole country najua namna ya kuishi bila document yeyote
 
ulikuwa unafanyanye mtaalam? plz tupe hints
 
Back
Top Bottom