Sawa mkuunataman sana mwanangu tatizo[emoji116]View attachment 1822120
Yaani unaacha kufanya vitu vya kukuletea pesa unasubiri stori za walevi wa K za Sauzi!Duh, nasubiri muendelezo kitambo
Ila Mim sio Mlevi MkuuYaani unaacha kufanya vitu vya kukuletea pesa unasubiri stori za walevi wa K za Sauzi!
Tanya hajambo?Ila Mim sio Mlevi Mkuu
Labda amerudi tena afrika kusini bado hajapata smartphone.Huyu jamaa kapotelea wapi ba ndg?au baada ya kosoakosoa ya wadau akazira na kuzirai??[emoji41][emoji1787][emoji41][emoji2956]
Haaahaah,naona anazuga anachungulia na kuchomoaLabda amerudi tena afrika kusini bado hajapata smartphone.
Kama ni ivyoo mbona kimya kingi?![emoji1787]kina mshindo mkuuIla Mim sio Mlevi Mkuu
Sababu ni ustaarabu mdogo wa members,pia kukosoa bila staha na kuamini kila kitu no uongo achilia mbali kukosa uvumilivu na kumshambulia mtoa mada hovyohovyo. JF ya sasa sio ile ya great thinkers, imevamiwa na wanafesibuku ustaarabu hakuna kabisa.Kuna kausemi kanasemaga fools never learn...ndio maana mada nyingi zinaishia njiani na watu hawajifunziSababu hasa ni nini Jombaa?
Vipi utaendelea au basi tenaIla Mim sio Mlevi Mkuu