Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Sababu hasa ni nini Jombaa?
Sababu ni ustaarabu mdogo wa members,pia kukosoa bila staha na kuamini kila kitu no uongo achilia mbali kukosa uvumilivu na kumshambulia mtoa mada hovyohovyo. JF ya sasa sio ile ya great thinkers, imevamiwa na wanafesibuku ustaarabu hakuna kabisa.Kuna kausemi kanasemaga fools never learn...ndio maana mada nyingi zinaishia njiani na watu hawajifunzi
 
Back
Top Bottom