Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Kwaio keagan upo wapi saaiv maan ulipewa permit ya mwezi
 
P
 
Jiwe lingeendelea kuwepo, wengi mgekimbia nchi pamoja na kwamba lilikuwa linawapumbuza muonekane lina wajali kumbe ndio linapiga pini ya ukakika
Wakati wa jiwe watz walipata heshima nchi nyingi ukisema mtz tu unaeshimika hata SA maana jpm alikuwa anakubalika sana ,ndiyo maana alipo tua SA uwanja wote ulimshangilia hivyo acha upumbavu ,kipindi cha kikwete ilikuwa ukijitambulisha tu mtz unapigwa sachi hadi matakoni na vadole wanajua unasafirisha ngada
 
Hujui unachoandika
 
Haya maisha kila MTU ana taka kuwa mzigo wenye manufaa... Ungewachngamkia wote... Ukiteleza nao unapata nafuu hata ukikosa sehemu ingine fresh utarejea kujibebisha na madevu yako *****... Maisha nyoso sana
Wewe ccm usije huku kwenye huu uzi kwani si nyinyi mnaosababisha watu kujilipua kimaisha
 
Kwani ukumsikia kuwa wanalala masaa machache hao jamaa ,pia unaweza kuwa tajiri na ukafanya kazi kama punda kwani ukumwona jpm alivyokuwa anafanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…