Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
🤣🤣🤣😂😂😂Sawa mkuu nimekuelewaMalizia Stori
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣😂😂😂Sawa mkuu nimekuelewaMalizia Stori
This was, and still the bestUmeongea point kubwa sana. mimi nilijilipua kwenda ughaibuni ikiwa na watoto wangu nikasema mambo yatajulikana mbele ya safari. Alhamdulilahi Mungu wa wote njia zilifunguka. Cha msingi ni kujilipua leo na si kusubiri kesho maana kesho haipo na mipango unapanga huku unaendelea kuhassle
Hivi hii story imeishia episode ya ngapi?Malizia
Mwana karudi south tena,Hivi hii story imeishia episode ya ngapi?
Naona kaamua kumfuata KANYA SouthMwana karudi south tena,
Kwani hawezi kuendeleza akiwa huko?Mwana karudi south tena,
Kanya alifariki kwa mujibu wa story nzimaNaona kaamua kumfuata KANYA South
Oya kiutani utani unaweza kuta mdau hayupo duniani.Maisha bhana kuna mtu alidai mwana@ Keegan Paul may be he,s deadKwani hawezi kuendeleza akiwa huko?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] daaah nyie duniani tunapita tu. Ndio maana nyuzi zao hazikuisha mpaka leo ziko vile vile hakuna mwendelezo. Nauliza kuna mwamba mmoja pia ana itwa Kitoabu huyu pia yuko wapi alikuwaga na stori kali sana alikuwa ana ni motivate sana.Oya kiutani utani unaweza kuta mdau hayupo duniani.Maisha bhana kuna mtu alidai mwana@ Keegan Paul may be he,s dead
Wewe stori nzima ya kufariki kwake uliipata wapi?Kanya alifariki kwa mujibu wa story nzima
Humu humu kwenye uzi mdau.Wewe stori nzima ya kufariki kwake uliipata wapi?
Kitoabu mfate jukwaa la united anashinda huko[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] daaah nyie duniani tunapita tu. Ndio maana nyuzi zao hazikuisha mpaka leo ziko vile vile hakuna mwendelezo. Nauliza kuna mwamba mmoja pia ana itwa Kitoabu huyu pia yuko wapi alikuwaga na stori kali sana alikuwa ana ni motivate sana.
Kuna wadau kama wawili walikua wanatoa story za south na maisha ya kule humu humu JF walifariki.May be anaweza kua mmojawapo.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] daaah nyie duniani tunapita tu. Ndio maana nyuzi zao hazikuisha mpaka leo ziko vile vile hakuna mwendelezo. Nauliza kuna mwamba mmoja pia ana itwa Kitoabu huyu pia yuko wapi alikuwaga na stori kali sana alikuwa ana ni motivate sana.
Kwenye uzi wake humu humu au ni thread nyingine?Humu humu kwenye uzi mdau.
Sina kumbukumbu ila ni kwenye threads hizi hizi za maisha ya south afrika.Kwenye uzi wake humu humu au ni thread nyingine?
Siku hizi hachimbi tena madini Mozambique [emoji1174] ? Huyu jamaa atakua kazama kwa kanji KUBET kama ana shinda united [emoji16][emoji24]Kitoabu mfate jukwaa la united anashinda huko
Daaaah aisee halafu na South Africa na sikia kufa ni suala la kawaida sana japo popote una weza kufariki lakini kwa SA, nasikia una weza ukawahishwa muda wowote.Kuna wadau kama wawili walikua wanatoa story za south na maisha ya kule humu humu JF walifariki.May be anaweza kua mmojawapo.