Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Umeongea point kubwa sana. mimi nilijilipua kwenda ughaibuni ikiwa na watoto wangu nikasema mambo yatajulikana mbele ya safari. Alhamdulilahi Mungu wa wote njia zilifunguka. Cha msingi ni kujilipua leo na si kusubiri kesho maana kesho haipo na mipango unapanga huku unaendelea kuhassle
This was, and still the best
 
Oya kiutani utani unaweza kuta mdau hayupo duniani.Maisha bhana kuna mtu alidai mwana@ Keegan Paul may be he,s dead
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] daaah nyie duniani tunapita tu. Ndio maana nyuzi zao hazikuisha mpaka leo ziko vile vile hakuna mwendelezo. Nauliza kuna mwamba mmoja pia ana itwa Kitoabu huyu pia yuko wapi alikuwaga na stori kali sana alikuwa ana ni motivate sana.
 
Kitoabu mfate jukwaa la united anashinda huko
 
Kuna wadau kama wawili walikua wanatoa story za south na maisha ya kule humu humu JF walifariki.May be anaweza kua mmojawapo.
 
Siku hizi hachimbi tena madini Mozambique [emoji1174] ? Huyu jamaa atakua kazama kwa kanji KUBET kama ana shinda united [emoji16][emoji24]
 
Kuna wadau kama wawili walikua wanatoa story za south na maisha ya kule humu humu JF walifariki.May be anaweza kua mmojawapo.
Daaaah aisee halafu na South Africa na sikia kufa ni suala la kawaida sana japo popote una weza kufariki lakini kwa SA, nasikia una weza ukawahishwa muda wowote.
 
Back
Top Bottom