Ismoo
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,101
- 1,573
Hebu ukiiona hata moja naomba uni tag mkubwa.Sina kumbukumbu ila ni kwenye threads hizi hizi za maisha ya south afrika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu ukiiona hata moja naomba uni tag mkubwa.Sina kumbukumbu ila ni kwenye threads hizi hizi za maisha ya south afrika.
Nitafanya hivyo mdau.Hebu ukiiona hata moja naomba uni tag mkubwa.
SWALI; Ulimuaga Paul Makonda???Wakuu leo naomba kuleta Story yangu ya kweli ya jinsi nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu kule wala mtu wa kunipokea.
Ukweli kuna wakati ilifika nilichoka sana maisha ya hapa nyumbani, ilikuwa Mwaka 2014, nilikuwa napitia changamoto nyingi za maisha hasa katika familia. Ukweli akili ilikuwa imechoka sana ilisababishwa na kutokuwa na ajira muda mrefu.
Hata baadhi ya watu sikuwa napenda kukutana nao sana. Nikajiuliza kwani Maisha ni hapa tu nyumbani? kwani hakuna sehemu nyengine? Nikajisemea labda sikuandikiwa kutoboa hapa nyumbani ngoja nikajaribu bahati yangu sehemu nyengine.
Kabla ya kufanya maamuzi ya kwenda South Africa, Kwanza niliwaza kujaribu bahati yangu Marekani, nina ndugu kama watatu huko. Nikamcheki ndugu yangu mmoja akanitumia Invitation Letter. Nikaanza kupambana pale Ubalozini. Nilifika kwenye Usahili lakini nilikosa VISA.
Mdau kama umezoea maisha ya amani Tanzania.Kwa Africa Kusini utaishi kwa uoga uoga,kwa matukio either utakayaona au kuyasikia kwenye vyombo vya habari.Kule usalama ni changamotoDaaaah aisee halafu na South Africa na sikia kufa ni suala la kawaida sana japo popote una weza kufariki lakini kwa SA, nasikia una weza ukawahishwa muda wowote.
Fafanua mkuuVaileth wa Matonya anashaikiliwa na Interpol , kutokana na huu uzi. Kikubwa wanataka jamaa Y apatikane.
Mtandao uliotajwa kwenye huu uzi mbali na kuficha majina halisi ila unaonesha network kwa kutaja baadhi ya watu kwa utambulisho waoFafanua mkuu
Kila kitu kiko wazi mno…Mtandao uliotajwa kwenye huu uzi mbali na kuficha majina halisi ila unaonesha network kwa kutaja baadhi ya watu kwa utambulisho wao
Huyu kachanganya story ya KUMBU na KANYA. Sio bureWewe stori nzima ya kufariki kwake uliipata wapi?
Hata mimi nahisi hivyoHuyu kachanganya story ya KUMBU na KANYA. Sio bure
Kumbu mtoto wa kizulu mwenye umbo mpwito mpwito hizi stori za south africa nazipenda sana. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Huyu kachanganya story ya KUMBU na KANYA. Sio bure
kweli kabisa, lazima tubadili mindset.Nani amekwambia hawakubaliki???....mfukoni wako vizuri
Wewe ambaye ukienda "unakubalika"..... Umefaidika nini??
Umasikini wa Naijeria na Huku kwetu wapi kuna nafuu???
Unajua ni hela kiasi gani zinaingia Nigeria kutoka kwa Diaspora?? Ambazo zinasaidia jamii yao??
Hayo mawazo ya kutaka " kukubalika" ndio utopolo tuliojazwa toka tunakua yani mpaka saivi vijana wanahangaika wazazi wanataka wote waajiriwe serikalini( SU-Soma Ule/Shirika la umma) matokeo yake vijana wamebaki kuwa na stress tu. Kasomesha mtoto na hana msaada mzazi kastaafu halafu mtoto anashindwa hata kumsaidia utaleta "kukubalika" kwenye kikao cha familia kumchangia mshua Aende Apollo India matibabu??
Kuna siku nilikua na demu mmoja wa Kiswana kutoka sauzi nikaanza kuongea huo utopolo wa Nyerere kaisaidia South Afrika nikitaka "nikubalike" wakati huyo dada hata Nyerere hamjui wala Tanzania haijui ananishangaa tu na "kukubalika" kwangu kwamba waafrika kusini ndugu zetu😂😂
Matatizo ya Ujamaa hayo......dunia hii ni yq ubepari fanya vyovyote kuwa na hela utakubalika tu. Unadhani tunawapenda sana Wazungu??? Madola wanayoyaleta ndo "tunawakubali"
Badilisheni mindsets hizo,kuweni na uthubutu
Hahahahahaha! Hatari sana.Kumbu mtoto wa kizulu mwenye umbo mpwito mpwito hizi stori za south africa nazipenda sana. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Hawa jamaaa ni manguli wa hizo kaziHahahahahaha! Hatari sana.
Oya kiutani utani unaweza kuta mdau hayupo duniani.Maisha bhana kuna mtu alidai mwana@ Keegan Paul may be he,s dead
Kuna wadau kama wawili walikua wanatoa story za south na maisha ya kule humu humu JF walifariki.May be anaweza kua mmojawapo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117] kaka nilipatwa na huzuni sana, pamoja na kuwa sikufahamu kumbe upo kaka. Habari za wapi mkuu maana ni kama vile ume fufuka sija wahi kukuona kwenye jukwaa lolote humu. Pia naomba umalizie story yako kaka, story ni ya kuvuti sana .Bado nipo hai mkuu
Hizi ni taarifa njema sana kwangu na kwa wana JF wote [emoji1787][emoji117] ulipotea sanaBado nipo hai mkuu