Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Umetisha mzee
 
Unaweza ukaweka headings kwenye sita ya 10,11,12 na kuendelea???
 
Uliwezaje kuwakwepa mizigo ya kisauz?
 
Hii ngoma regardless ni kweli au fiction ila umejitahidi kuandika[emoji1787]
 
Watoto wa kishua mna mbwembwe 🀣🀣🀣🀣🀣sisi tuliozaliwa mbagala road trip tutaijulia wapi!!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Hatari sana
 
Nikienda sauzi nita kula sana, hayo ma wowo ya sauzi [emoji23][emoji23]
 
Home boy, Mzee wa kamserereko aka hands la ndizi
 
Kaka huyo binti anaongea vitu visivyo na uhalisia!!!Sijawahi kuona mwanamke anaechukia kutongozwa in any aproaching move!!!!Sema aseme tu anachukia kutongozwa kwa aina flani ya utongozaji
 
Kaka huyo binti anaongea vitu visivyo na uhalisia!!!Sijawahi kuona mwanamke anaechukia kutongozwa in any aproaching move!!!!Sema aseme tu anachukia kutongozwa kwa aina flani ya utongozaji
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Tumjenge taratibu, hatuijui kesho yetu tutakuwa na nani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…