Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Ukapelekwa kwa mkemia mkuu wa serikali hahahahaha! Kuna mshikaji wangu alikuwa anajiita mkemia. Yaani jinsi alivyokuwa mzoefu wa kupima kete kwenye mzani alikuwa anajiita mkemia. Akikaa pale sebleni na boxer tu huku akiwa kifua wazi na savana yake pembeni na kuanza kupima sembe kwenye mzani, utasikia anakuambia "mkemia nipo kazini"
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahah ndo hivyo Mkuu
 
Jamaa yangu mmoja akiwa na miaka kumi na 9 from Nigeria Alijilipua Uk 1999 .kipindi Cha baridi(winter season) alienda Kama anaenda Coco Beach ...the journey was tough amejilupua Qatar ,Dubai ,south Africa ,Congo now yupo bongo .. Ila ametoboa nowadays maisha Safi.
 
Hata kama unazamia ni muhimu unaplan kabla unakwenda kufanya nini huko.....
sio umakwenda bila kujua ni shughuli gani hasa unakwenda kufanya mbaya sana hii manake mwishowe unajikuta ni drugg dealer......

Hustle duniani zinatofautiana, ndio maana mtu hadi anaamua kujilipua jua hana mjomba wala shangazi wa kumshika mkono, ukishakua mtafutaji ni lasket yako, passport, tena uwe na bahati uwe na pocket money kumbuka mwana alikua tayari na akiba benki huyu alienda vizuri, wengine inakuaga noma kweli kweli
 
Da maisha haya!! Watu wanapitia mengi ila dawa za kulevya n soo sitashau nilivyowahi kukimbizwa na wajomba baada ya kugundua nilikua na pisi za ganja kwenye begi... Hakika siku ile hata Hussein bolt asingenikamata...
 
Sawa baharia tunasubiri
 
Safi sana hadi hapo wewe ni hustler afadhali pesa ikatae ukiwa umejaribu kuparangana, tena kuna trend naiona wanawake naokutana nao kwenye utafutaji wanaongezeka siku hadi siku, kujilipua nakuamini maana ni darasa tosha
Umemaliza mkuu...wanawake wameamka sana...tukijiamini ss w3nyewe na nyie mtatuheshimu tu..
 
Umesema vyema Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…