Hplp2275H
JF-Expert Member
- Jan 21, 2021
- 556
- 1,660
First attempt ya kujilipua ilikuwa United States ...akiwa Nigeria Ila hakufanikiwa..Jamaa yangu mmoja akiwa na miaka kumi na 9 from Nigeria Alijilipua Uk 1999 .kipindi Cha baridi(winter season) alienda Kama anaenda Coco Beach ...the journey was tough amejilupua Qatar ,Dubai ,south Africa ,Congo now yupo bongo .. Ila ametoboa nowadays maisha Safi.
Anadai Nigeria Hadi bank statements wanakughushia .. Akiwa ubalozini alikamilisha kila kitu ...kufika dirishani akaulizwa kuhusu invitation letter Akawa hajui Ni nini anajiuma uma tuu ..wakamweka ndani ..Kama gaidi...wakamuuliza do you want/like coffee akasema yes wakamuuliza upo hatiani hiyo nguvu/gut ya kunywa coffee unaitoa wapi lastly aliamua kuzungumza ukweli juu ya ugumu wa maisha wakamwambia afuate procedures vizuri ndo aende ...wazungu wakabaki wanacheka ..baada ya kumchukua maelezo na kujiridhisha wakamwachia