Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Mkuu usihangaike na huyo haijui barabara mimi nimekuelewa unaweza kwenda hadi Uganda kwa hiyo balabala
 
Kwanini safari za kujilipuA hakunaga wanAwake jamani hakuna mwanamke alowahi jilipua akashuka na ushuhuda?
Demi
Noelia hamjawahi fikiria kujilipua kwenda huko Mayote jamani!
Hahahaha tunajilipua ila ndo kivingine wanawake wengi wamefika huko kwa kutumia (mahusiano), hivyo njia yao huwa rahisi kidogo, tumeumbwa kwa udongo laini Sana kuhimili hiyo mikiki ndugu yangu
Honestly siwezi kurisk maisha yangu hivyo, (labda maisha hayajanichapa sawasawa, ama mazingira niliyokulia no)

Wewe jilipue ili ututoe kimasomaso🀩🀩
 
Kwa siku ya leo tu umeshusha vipande viwili afu fupi Sana Sasa inayofata utashusha saa nne usku
 
Mkuu usihangaike na huyo haijui barabara mimi nimekuelewa unaweza kwenda hadi Uganda kwa hiyo balabala

Kabisa Mkuu ukipitia bwanga, unaamua uue kona utokee biharamulo au unyooshe hadi muganza, magarini unakula hadi kibaoni unakatisha kuelekea runazi hadi muleba then Bukoba unaitafuta mutukula, uende ukale lukaay au masaka au utoe kidebe karibu pale kyotera, naona kanishambulia mkongwe nimeanza kupita kilimasera kuja mnazi mmoja enzi hizo ni vumbi pale kilimanj ukikuta imenyesha hakuna cha chepe wala nini unapaki unatoa jiko lako unaanza kupika ukishiba unalala, acha Boss
 
Mkuu wewe umepita hiyo barabara tena kile kipindi ujenzi wa Lami ulipokuwa ukiendelea achana na huyo anayekuita muongo
 
Msela wa ngada huyu hapa tena!πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkeka wa nguvu na baadhi ya sehemu wamejenga airstrips!na salute kwa kambi ile ya jeshi la Botswana,they helped me big time kuna siku usiku nilipata pacha karibu kabisa na geti lao Panamatenga barracks i salute you
Hii kibongo bongo ingetokea lugalo ungerushwa kichura chura mpaka basi

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kwa mbaali nakumbuka mabasi ya Scandinavia wao mkikaribia boarder as horohoro, mamanga, tunduma au isibania walikuwa wanatangaza ndani ya basi kabla ya kufika nini ufanye kuepusha dhahama zozote.

Ila hii yako nimechekaπŸ˜‚πŸ€£ sana asee...
 
Wapo huko South africa,Oman,Dubai,Qatar Uk,
Somalians,Ethiopians , Nigerians... Wanahustle ..na nirahisj kutoboa Jinsia inawabeba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…