Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule



Hahahaa umetaja machaka yangu yooote hahahaha dah😊😊
 
Mwamba una penda raha kama paka sofa[emoji38]yaani unavyo zipangilia hatare nanusu

Mzee unatafuta kwa shida ushindwe hata kununua landrover kuukuu ukaitengeneze upya Arusha uwekewe engin ya m 5 mpya waipimp ikae kisafari na tent kwa juu huku unakula trip zako za barabarani, duniani usijibane sana tenga muda wa kula maisha ili akili irelax
 
Maisha ni uthubutu.
 
Copyright mwanangu, utafungwa.watu wahangaike hivyo halafu wewe mchongo ukuijie burebure
Nabadilisha mzee siiweki Kama ilivyo...natia na mbwembwe nyingi inanoga zaidi ya Ile halisi
 
Siku hizi hatuzeeki tunakufa mapema..ukipata wasaa wa kuweza kuijua dunia usisite fanya hivyo.binafsi moja ya hobby zangu ni kusafiri...kwenye kutafuta maisha tusisahau kuishi..!

Hapa umeongea mtu unaambiwa kuku wa kienyeji wazuri kiafya unakomaa oohh nakuza mtaji unakuza mtaji na unakuza magonjwa wakati huohuo lazima uwe smart,
 
Phantom mtaani kwangu hapo.
 
Mbona hii story yako haieleweki?,umedandia tren kwa mbele walah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…