Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Unakomaa kibishi,Mimi bhana nashukiwaga ngekewa tu, na ya awamu hii ni zali tu la mentali
Mie had nifight by hooks n crooks .bila hivyo hakuna kitu..mie mtu nayemwangalia kama mentor wangu ni dingilai..ukiskia mtu anapata hela akiwa amekaa anachek aljazeera ndo yule ..yaan kuna flow ya hela inaingia amekaa tu..nayataka hayo maisha!nimechoka sana kukimbizna na mibasi road😭😭😭! Kidg mwanga nauona ...najipa mwaka m1 nijitwe mkurugenzi....🤣🤣! Itumie bahati hiyo vzr
 
Wakuu kwa upande wa Lugha ya Kizungu siko vibaya sana. Naweza kujitetea kiasi chake
Mkuu usije kuwa na kidhungu kama cha marehemu Jiwe! Ila mkuu hujaeleza sasa pale kwa Bwana Y, kwa kuwa wewe ulikuwa haujaanza kuuza ngada ulikuwa unaishije? Ni kula kulala tu au ulikuwa unapiga vikazi vya hapa na pale?
 
sikupingi mkuu ndio mana mm nimeona nijiweke hpa[emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…