Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Chuma ulete.
 
Hahahaaa sisi maTrucker hao tushawazoea hawalambi hata chuma

Halafu we mdada unajipenda sana wewe ukaamua ukajipumzishe tu na Pajama lako😂😂

Wasalimie bahi huko. Naona yule rafiki yako mmoja kachongewa na CAG mpaka anasababisha msee kaambiwa anademka
 
Furahini mazee, Hadi Raha yani
 
Hahaha ni Dodoma, karibu.

Mzee anajua kujitoa ufahamu mambo yake yakiguswa ni mwendo wa kudemka.
 
Nimecomment kitu hapo juu mkuu angalia tuandae yakwetu Mwisho wa mwaka. Nataka nimlipe dogo

Nishamaliza trip hizo mikoa yote, Tanzania na nchi kadhaa kama 16 Afrika, na asia nchi kama 5 now nipo porini ten years back ndio nilikua na hiyo misafara ndio maana nakumbuka maeneo mengi nimeyataja kwa majina kabisa Mkuu
 
Nishamaliza trip hizo mikoa yote, Tanzania na nchi kadhaa kama 16 Afrika, na asia nchi kama 5 now nipo porini ten years back ndio nilikua na hiyo misafara ndio maana nakumbuka maeneo mengi nimeyataja kwa majina kabisa Mkuu
Poa poa kiongozi
 
Kwahiyo Watanzania wengi mfumo wa ujamaa unatudumaza akili na hapo ndio hata ccm inapata pakupitia, sasa ubepari ni mfumo wa amsha amsha bila kuchangamka huwezi kumiliki kitu hivo akili lazima iwe active sana, unakuta mtu anawaza oohh nikienda mbali nikifa je? Asijue hata akiwa kalala kwake chumbani atakufa vile vile ni vizuri kupata adventures tofauti tofauti ili kujifunza dunia ikoje
 
Kule utaambulia kuvaa tule tukanzu tufupi hivi na makobazi labda utakula sana tende na maziwa ya ngamia kwa fursa hazipo au ujiunge na waasi uwe mpiganaji kazi kwisha
Ukanda huo hamna kitu. Nimewahi kaa mwezi mmoja Ahmedabad, ni karibu na Pakistan. Kuna joto balaa. Linagonga zaidi ya 40°C. Ndio maana hao jamaa wanavaa vikanzu.
 
Road trip ni sehemu ya kufurahia kwa wengine mkuu.
Napenda sana usafiri wa anga lakini nina enjoy zaidi road trips
 
Kweli chief, hata Lema au Lissu pasipo kujilipua leo hii wasingekuwa mamtoni huko 😁!
 
Hao wanaigeria ujuaji wao unawacost kila sehemu hawakubaliki kutokana na tabia zao za kishenzi,utapeli,wizi etc
Kinachosababisha wakimbie kwao ni umasikini na kwa sasa nchi yao hali ya kisiasa sio nzuri muda wowote kitawaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…